Katikati ni Makamu wa Rais wa Chama cha Maendeleo ya Kimataifa (Society for International development -SID), Balozi Juma Mwapachu akiwa kutoka shoto na Ankal, mjumbe kutoka Uganda, Sunday shomary wa Idhaa ya Kiswahili ya Voice of America (VOA)  na Lukas Mkami a.k.a DJ Luke Joe wa Globu dada ya Jamii ya Vijimambo wakati wa mapumziko leo katika hoteli ya Omni Sherham jijini Washington DC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2011

    Ankal pongezi nyingi katika kutuhabarisha.
    Mimi ni kijana, kitaaluma ni Statistician ningependa nijiunge na hiyo society ya SID. Naamini katika speech iliyotolewa na Balozi mwapachu ulipokuwa ukimwoji aliwataka hasa vijana kujiunga na SID. Naomba unijulishe procedure za kujiunga na SID.

    Asante mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...