Marehemu Profesa Mushi
FAMILIA YA SUSAN MZEE, ANANDE SEMWENDA, UKUNDI MLELWA NA CHARLES STEPHEN WA MIKOCHENI DAR ES SALAAM PAMOJA NA UNITED KINGDOM WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA YAO MPENDWA PROFESSOR SAMUEL STEPHEN MUSHI KILICHOTOKEA TANZANIA  LEO TAREHE 23/07/2011 KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI BAADA YA KUUGUA GHAFLA.
MSIBA UPO REGENT ESTATE DAR ES SALAAM (TANZANIA) NA READING, 24 ESKIN CLOSE, TILEHURST. RG30 4DU. UK

MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA JUMANNE JULAI 26, 2011 KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM. 

MOLA AIWEKE MAHALI PEMA ROHO YA MAREHEMU
- AMINA
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA:
MBARUKU MZEE - 00447867607112
DANIEL SEMWENDA - 00447888320169
SUSAN MZEE - 00255716826126 (TANZANIA)
EVANS MLELWA - 00255784990440 (TANZANIA)
TANZANIA ASSOCIATION UK - (00447954563709) (00447799212095)
 --
Susan Mzee
Reading - United Kingdom

 
Profesa Mushi akiongea siku Rostam Aziz alipotangaza kujiuzulu nyadhifa zake zote katika CCM ikiwa ni pamoja na ubunge wa jimbo la Igunga. Kila mara waandishi walikuwa wakimfuata Profesa Mushi kusikia anaongea nini kuhusu hali y kisiasa na kijamii nchini naye alikuwa hawakatalii na saa zote yuko tayari kutoa tahmini yake. Hakika Tanzania imempoteza mwalimu muhimu wa sayansi ya jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2011

    Mungu aifariji familia ya marehemu Profesa Mushi katika kipindi kigumu cha msiba.Pole my dear Ukundi kwa kumpoteza baba.Bwana ametoa na ametwaa jina la bwana libarikiwe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2011

    Poleni sana.

    R.I.P Prof Mushi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2011

    R.I.P prf.hakuwa nyuma kusema ukweli rai serikali ingetumia mawazo ya watu kama hao.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2011

    Oh! nimeshtuka sana sana jamani alikuwa mzee wangu wa kanisa pale msasani lutheran, poleni sana wafiwa katika kipindi hiki kigumu kupoteza nguzo ya familia.
    RIP Prof Mushi.
    mdau toronto

    ReplyDelete
  5. Poleni sana wanafamilia,

    Huyu alikuwa mwalimu wangu alinifundisha pale mlimani mwakani 1999,

    Nina mshukuru MUNGU ameniwezesha kutoa heshima zangu za mwisho pale Nkrumah Hall Chuo kikuu cha DSM,

    Wanafamilia tuko pamoja,kazi ya Mungu haina makosa,

    Tunajua Prof.Hajafa bali amelala na Bwana YESU atamfufua siku ya mwisho.
    AMEN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...