Meneja Biashara ya Kimataifa wa Kampuni ya Bajaj nchini India Pulkit Kapahi akizungumza na madereva wa pikipiki hizo wakati wa mafunzo ya maalum kwa madereva na wamiliki kuhusu toleo jipya la Bajaji zenye muundo wa kisasa na vifaa vya kuchajia simu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mhhh hizo bajaj zenye vifaa vya kuchajia simu si ulaji kwa vibaka? manake ukiwa unachaji simu kwenye bajaji si kibaka anaingilia upande mmoja anatokea upande wa pili na simu yako? ok lets wait and see,all the best madereva wa vibajaj

    ReplyDelete
  2. Mbona gari za tangu 1995 zina charge simu? WaTZ tuchangamke nasisi kutengeneza hivyo vigari, wakowapi wasomi wetu au wamekwenda kumfanyia kazi mzungu kwa vipaundi na vidolari vya kulipia mortgage na car loan?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...