Mimi ni Mtanzania halisi niliyezaliwa miaka 38 iliyopita jijini Arusha maeneo ya Sanawari. Niliamia hapa miaka 5 iliyopita baada ya kuonana na mme wangu kupitia njia kama hii (Cyber-love). Nina mtoto 1 na ninaishi maisha mazuri tu inagawa ni ya kawaida. Hivyo nimeona ni vyema nikatoa nafasi kama hii kwa watanzania wengine ambao wangependa vilevile kuonana na marafiki wengine popote duniani kupitia blog hii ya WabongoMeet.

Wabongomeet ni blog ya Kitanzania inayotoa mwanya kwa Watanzania mahali popote kujitafuta marafiki na hata wachumba ulimwenguni kote. Mnakaribishwa bila UBAGUZI wowote. AKINA DADA MNAKARIBISHWA NAWAPA MOYO ZAIDI KUTEMBELEA HAPA........

Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com 
Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu. 


Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet....



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Da hii blog uongo mbaya imesheheni tenda

    ReplyDelete
  2. ASANTE SANA MDAU MIMI NI MSICHANA WA KITANZANIA MWENYE UMRI WA MIAKA 39.NINAISHI LONDON TANGU MWAKA 1995.SIKUPATA BAHATI YA KUMPATA MTANZANIA WAKWELI HADI LEO.NINGEPENDA KUTUMIA NJIA HII KUMPATA MTANZANIA WA KWELI .MDAU UK.

    ReplyDelete
  3. i dont trust part of you story, it makes the whole story wrong!

    ReplyDelete
  4. nshimimana aka dumisaneAugust 18, 2011

    hii imekaaje?

    - - -
    buffalo,
    new york

    ReplyDelete
  5. Facebook is easier..

    ReplyDelete
  6. duu katika libeneke la huyu shangazi wanaotafuta/wanaosaka wenzao ni jinsia moja(wanawake)tu hmmmmmmmmmm

    ReplyDelete
  7. Email address zote zilizowekwa humo ni fake tupu na wala hakuna anayerespond.Nadhani mwenye blog hajui hilo amewatundika watu ambao wanacheza maigizo ya kuwtuma profile fake kabisaaaaaaaaaaa ili kujifurahisha tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...