Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo katika Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Mh. Leonard Thadei (wa sita kutoka kushoto waliosimama mbele) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa Tanzania Marketing Communication Confrence (TMCC) uliofanyika katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam leo, ukiwashirikisha wataalamu wa masoko toka makampuni mbalimbali hapa nchini.

















































Post a Comment