Vodacom Miss Tanzania,Salha Israel (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Tracy Sospeter (kulia) na mshindi wa tatu,Alexia William mara baada ya kutangazwa usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.
Vodacom Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Genavive Mpangala akimvisha taji la ushindi wa Vodacom Miss Tanzania,Salha Israel mara baada ya kutangazwa hivi punde.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Jamani jina lake ni Salha sio Sarha. Umechanganya "R" na "L" jamaaaaaani.............

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kamati ya vodacom miss tz 2011 kwa kazi nzuri.

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli safari hii hakuna uchakachuaji. Mimi binafsi yangu nilimtabiria na kumuona kuwa ndiye atakayeshinda tangu walipokuwa katika jumba wakijiandaa.

    mdau Kinshasa

    ReplyDelete
  4. thts too bad kukosea jina la watu tena miss
    ni aibu

    ReplyDelete
  5. Hongera sana salha kwa ushindi

    ReplyDelete
  6. hehe israel au labda ni palestina majina mengine bwana kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  7. Hongera sana waandaaji wa miss tanzania.MWAKA HUU HAKUNA UPENDELEO.

    ReplyDelete
  8. Haya kazi ni kwake ndani Jeeeeeep!!!

    ReplyDelete
  9. Jamani, mimi sioni wapi jina limekosewa. Tena kaliandika muafaq kabisa. kama huna comment nyamaza, tulia.

    ReplyDelete
  10. kazi nzuri vodacom

    ReplyDelete
  11. kaka michuzi plz plz ondowa picha zawashenzi wasiyokuwa na nizam kuna watazania nje ya nchi wakionesha huzuni na masikitiko kwa msiba wao wamo ndani ya nchi wakionesha hawana hisiya wakielekeza umalaya mbele TIZAMA MH KIKWETE ALIVYOKUWA NA MAJONZI NA HUZUNI NI MSIBA MKUBWA KWA TAIFA SHENZI VODACOM

    ReplyDelete
  12. hii ni kazi nzuri kumbe tz bila rushwa tunaweza!hongera kamati ya miss vod 2011

    ReplyDelete
  13. hongereni waandaaji, mwaka huu kweli miss wa ukweli
    flora kutoka dodoma

    ReplyDelete
  14. JAMAN KAMISS KAZURI KWELI HONGERA VODACOM.Ila nawe salha sasa tulia maana mna kawaida mkishinda tunaanza kusikia skendo za ajabu.
    mim

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...