Mwanahabari Adam Nindi, Esther Macha , Tumain Msowoya, Bland Nelsoni na Janeth Matondo wakiwa katika viwanja vya tamasha la TGNP linaloanza leo hadi tarehe 17 mwezi huu katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam




Mwanahabari nguli toka Iringa  Bw Francis Godwin akiwa na mwandishi wa mtandao wake  kutoka Mbeya Esther Macha, Bland Nelson na Janeth Matondo




Baadhi ya washiriki wa warsha kutoka mikoani wakiwa katika viwanja vya mafunzo. Picha na Francis Godwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...