Je unajua kuwa 1966 kulikuwa na bendi ya akina mama watupu hapa Tanzania? Angalia picha zao wakiwa kazini. 
Mtembelee mkongwe John Kitime kwa habari kamili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sisi wasomaji "wazee" tunaikumuka sana bendi hii. Hasa ule wimbo wao Happy X-mas ambao walikuwa wanatamka herufi za alfabeti A mpaka Z.

    ReplyDelete
  2. ahsante mzee manake ile nyimbo naijua lakini sikujua nani aliimba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...