In order to view this object you need Flash Player 9+ support!
|
Monday, October 31, 2011
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa kampunia ya Uhuru One, Bw. Mihayo Wilmore, kuhusu matumizi rahisi ya kompyuta ndogo na mpango wa kuzisambaza na kuwawezesha wanafunzi wa Tanzania kutumia kompyuta hizo, wakati wakati akikagua banda la maonyesho la Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) uliofanyika Geneva, Switzerland Oktoba 24, 2011. Kulia ni Bw. Tahir Haroub Othman, mmoja wa wakurugenzi wa Uhuru One, kampuni inayokuja juu sana nchini Tanzania katika sekta ya mwasiliano kwa njia ya mtandao.
Post a Comment