Mmiliki/ mkurugenzi wa African Lyon  Fc Bw. Zamunda Kangezi akiongea na waandishi wa habari leo.Kushoto kwake ni katibu mkuu Brown Ernest kulia ni Mkurugenzi wa ufundi na biasgara wa Lyon Charles Otione. Walio simama kutoka kushoto ni Jarufu masega atakaye  kwenda Marekani katika chuo cha Lousiana kusoma, Hamis Thabit (Anakwenda seattle sounders kufanya majaribio ya wiki mbili), Hood mayanja(Yupo njiani kwenda marekani mwishoni mwa mwaka huu pamoja na Razak Khalfani na Abdul Juma) 
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...