Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Phils International ya Dubai Bw Mohamed Shariff (kulia) na Meneja Miradi na Mkuu wa idara ya uchoraji wa kampuni hiyo Bw Murad Yusufali pamoja na Mkurugenzi wa Finserve Associates Limited Bw. Peter Machunde wakiwa katika chumba cha mikutano cha White House katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo, kabla ya kufanya presentation kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama hicho. Phils International ni makandarasi wa kuchora na walifanya presentation ya ukumbi mpya wa mikutano wa CCM. Bw. Mohamed Shariff pia ndiye mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi Dubai
Home
Unlabelled
makandarasi wa ukumbi mpya wa mikutano wa ccm wafanya presentation kwenye kikao cha nec dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
basi ni uamuzi mzuri kuwatumia diaspora. maana mara nyingine tunathamini wengine na kusahau utanzania
ReplyDeleteHivi presentation kwa kiswahili ni nini?
ReplyDeleteUki-google utapata tafsiri ya PRESENTATION kwa Kiswahili. Next question...
ReplyDeleteAsante mkuu!
ReplyDeleteKwa uelewa wa kitanzania,Mkandarasi ni yule anayejenga! hawa wanaochora no Consultants-Washauri au Designers (Wabunifu). Kwa hiyo nahisi hawa wanaofanya presentation ni Wabunifu wa Ukumbi Huo/Designers(Architects) na si wakandarasi.