Watanzania waishio nchini China nao hawakuwa kimya siku ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa kwenye sherehe hiyo huko Wuhan China .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. KHALID, MBONA HUCHEZI DOGO,

    ReplyDelete
  2. tanzania imepata uhuru lini?

    ReplyDelete
  3. macho yasheanza kuwa madogooo kama wenyeji. FEW DAYS Mtaiga miondoko kwishnehi...all chinese. teh teh teh

    ReplyDelete
  4. Hiyo Keki aliyeandika amechemsha wajameni, angalieni spellings.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...