In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.










  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com
  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com












Archive for September 2011

SHEAR CHARITY BALL 2011: EVENT OF THE YEAR ON THE CARDS TODAY AT MOVENPICK HOTEL



mkutano wa mawasiliano wa masoko tanzania TMCC


Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo katika Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Mh. Leonard Thadei   (wa sita kutoka kushoto waliosimama mbele)  akiwa  katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa  Tanzania Marketing Communication  Confrence (TMCC)  uliofanyika katika hoteli ya Golden Tulip  jijini Dar es Salaam leo, ukiwashirikisha wataalamu wa masoko toka makampuni mbalimbali  hapa nchini.


UDSM's Presidential Fundraising dinner on the 18th October, 2011 at Mlimani City Hall



Dear Alumni, Staff (Past & Current) and Friends

You are welcome to celebrate the 50th anniversary of the University of Dar es Salaam.  Kindly attend the Presidential Fundraising dinner on the 18th October, 2011 at Mlimani City Hall from 18.30 p.m.  The host will be The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

Tickets are TShs 200,000/= per plate available from all UDSM Colleges, Schools, Institutes and Directorate or contact :
Mr. Jackson Isdory  Mobile:  0784585964
Ms. Anita Kiiza Mobile:  0786799633

Landline: 2410700/2410078
Email:      vc@admin.udsm.ac.tz

For more contributions use the following account details:
                               Account Number: 01J108867004
                               Account Name:     UDSM Student Centre
                               Bank: CRDB Bank Plc
                               Swift Code: CORUTZ(TZ)
The anniversary climax will be on 20th October 2011 with celebrations in the morning and graduation in the afternoon for Postgraduate and Honorary degrees.

Prof. Rwekaza Mukandala
The Vice Chancellor
University of Dar es Salaam


APPRECIATION

KIDEE NEEMA BENDERA TAZANU
BORN:-4th October, 1974
PROMOTED TO GLORY:- 11th August, 2011

We the families of Mr. O. Shane Bendera and Dr Stellla Bendera of Oysterbay, Dar-es-Salaam and that of Mr Clifford Tazanu of Washington DC, USA; would like to extend our sincere and heartfelt gratitude for the immeasurable support that we received from all relatives, friends, neighbors and all well wishers; in the form of moral, material, financial and daily prayers since the sudden demise of our beloved daughter, KIDEE NEEMA, which occurred in Maryland, USA, on 11th August, 2011,  and was laid to rest on 26th August, 2011, at Kinondoni cementry, Dar-es-Salaam.

Since it is practically impossible to mention all the kind people and institutions that assisted and supported us during our most trying and difficult period, please accept our humble way of saying THANK YOU to each one of you.

Our sincere appreciation to Bishop Alex G. Malasusa of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania (ELCT), who conducted prayers at Msasani Lutheran church assisted by pastors: James A.Ngalla(Msasani), C. Sendoro (ELCT, Head Office), C. Munisi ( Fuka Parish, Northern Diocese), L. Hiza (UDSM), C. Pawa (Kawe) and E. Kadiva ( Kijitonyama). Our appreciation is also extended to pastor S. Larry of Calvary Lutheran Church and School, Silver Spring, Maryland, USA; Theologian, Machui, Parish Worker,  Ukombozi Choir of Msasani Lutheran Church and choirs of Kijitonyama Church.

We are also indebted to Dr Barbara A. Hutchinson of Chesapeake Cardiac Care P.A. Maryland,  USA,  Drs and nurses of Providence Hospital, Washington DC, who struggled to save the life of our daughter;  the family of Thomas Tazanu; Her Excellence Ambassador  M. S. Majaar and staff of the Tanzania Embassy, Washington DC,   the entire Tanzanian community in USA and Canada, led by Ms Joyce Mshana Collins, Arthur Gao, Fanuel Ligate, and the Organizing Committee in Dar-es-Salaam, who worked tirelessly to make sure our Kidee Neema arrived home. We also extend our gratitude to Staff of Tanzania Public Service College, EWURA, President’s Office Public Service Management and Radio Clouds FM.

Kidee Mami, we feel your presence in memory, ever near, and you’ll never be far from us. You are on the other side of the physical realm where the soul resides in its limitless splendor. In time we will rejoice in a re-union again.

Sorely missed by your daughters Maya-Lulu and Darie-Manka, Mom and Dad, Husband Cliff, Brothers Guni-Heri and Joe, cousins, the entire families of Bendera,  Tazanu, and Mwanri, relatives and friends.

Those we love remain with us, 
as love itself lives on through Jesus Christ. 
Amen.


Benki ya Posta Tanzania yaandaa hafla ya chakula cha jioni kwa wahariri wa vyombo vya habari

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi akizungumza kwa msisitizo usiku huu wakati Benki hiyo ilipoandaa hafla fupi ya chakula cha jioni kwa ajili ya Wahariri wa Vyombo mbali mbali vya Habari hapa nchini,iliyofanyika katika Hotel JB Belmont,Benjamini Mkapa Tower jijini Dar usiku huu.
 Meneja Uhusiano wa Benki ya Posta Tanzania,Noves Moses akitoa muongozo wa hafla hiyo iliyofanyika usiku huu katika hoteli ya JB Belmont,Benjamin Mkapa Tower,jijini Dar.
 Bosi wa Radio One,Deogratius Rweyunga akizungumza na kutoa shukrani kwa Wadau wa Benki ya Posta Tanzania ambao wameandaa hafla fupi ya chakula cha jioni kwa ajili ya Wahariri wa Vyombo mbali mbali vya Habari hapa nchini.
 Mtangazaji wa Star TV,Barhan Muhuza nae akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya Mabosi wa Benki ya Posta Tanzania wakiwa katika hafla hiyo ya chakula cha jioni.
 Baadhi ya Wahariri wa Vyombo Mbali mbali vya Habari wakiwa katika hafla hiyo ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki ya Posta Tanzania.


nyumba 90 zaezuliwa na kimbunga dar leo, mamlaka ya hali ya hewa wafafanua

Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini imetoa ufafanuzi kufuatia Kimbunga kilichoambatana na Mvua kali na kusababisha Nyumba zaidi ya 90 kuezuliwa Mapaa yake huko Mbagala eneo la Mangaya katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam.

Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri wa Hali ya Hewa Dokta  Hamza Kaberwa ameiambia Uhuru FM leo kuwa hali hiyo ya Kimbunga inatokana na mabadiliko madogo ya Ardhi katika Bahari ya Hindi.

Kimbunga hicho kilichoambatana na Mvua pia kimesababisha watu Wanne kujeruhiwa vibaya.

Kufuatia hali hiyo imesema mabadiliko hayo yametoka Baharini kuelekea Pwani ya Dar es salaam kwa umbali wa Kilometa Mbili hadi Tano na hivyo kusababisha Kimbunga hicho kilichoambatana na Mvua.

Pamoja na mambo mengine Mamlaka hiyo ya Hali ya Hewa imetoa tahadhari kwa wananchi kuwa Mvua za Vuli zitakuwa Juu ya Wastani katika eneo la Kaskazini ikiwemo Dar es salaam hivyo wananchi wachukue tahadhari za kukabiliana na hali hiyo hususani wananchi wanaoishi Mabondeni.

Wakati huo huo, Mvua hizo pia zimesababisha Mifereji ya Maji Taka kujaa na kusababisha Maji Taka kusambaa katika barabara na maeneo kadhaa ya Jiji la Dar es salaam hatua iliyoleta usumbufu kwa wananchi


kiota maalum cha watoto wa mlimani.


MKAPA ATINGA TENA IGUNGA LEO, KUFUNGA KAMPENI ZA CCM KESHO

Mwenyekiti na Rais Mstaafu wa Tanzania,Mh. Benjamin Mkapa leo alifika mjini Igunga kwa ajili ya kufunga kampeni za CCM kesho kwenye Viwanja vya Sokoni, Kata ya Nkinga. Pichani, Mkapa akiwasili kwenye hotel ya Peak mjini Igunga leo jioni.. (Picha na Bashir Nkoromo).


FFU wa Ngoma Africa band wameanza kuwatishia Sierra Leone

Wanachi wa Seirra Leone,Afrika magharibi wamejikuta wakikosa usingizi na kushikwa na ugonjwa kupenda mdundo wa muziki wa dansi kutoka Tanzania maarufu kama "Bongo Dansi"

baada ya vituo vya redio vya nchi hiyo kuanza kupiga nyimbo za bendi maarufu ya dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band " aka FFU,pia magezeti ya Seirra Leone kama yanavyoandika http://www.sierraexpressmedia.com/archives/29981


TTCL YATOA TAARIFA KWA UMMA JUU YA UHAMISHAJI NJIA ZA MAWASILIANO

Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) inapenda kuwafahamisha wananchi na wateja wake kwa ujumla kuwa kwa sasa kuna kazi ya uhamishaji wa njia za mawasiliano kandokando ya barabara mpya ya Bagamoyo ( Mwenge – Tegeta).

Kazi ya kuhamisha njia za mawasiliano ni inafanywa na wakala wa barabara (TANROADS) aliyeingia mkataba namba QTN/AE001/2009/2010/DSM/E/146 na mkandarasi.

Katika mkataba huu, Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) jukumu lake kubwa ni kuelekeza na kushauri njia mpya ya mtandao wa simu utakapopita tofauti na njia za awali.

Tunaomba ieleweke kuwa hadi hapo njia mpya ya simu itakapokamilika ndipo ile ya zamani itaondolewa kuepusha wateja kukosa huduma.

Tayari wakala wa barabara(TANROADS ) amekwishakamilisha awamu ya kwanza ya kuhamisha njia za simu kutoka Mwenge mpaka njia panda ya Africana. Na sasa kazi inaendelea kuanzia njia panda Africana kuelekea Tegeta.

Kwa vile kazi inahusisha njia za mawasiliano zilizopo juu na za chini ya ardhi, kitaalam kazi hii lazima iende sambamba na ujenzi wa barabara mpya kwa kuwa katika ujenzi , mkandarasi wa barabara anajenga njia za kupitisha mawasiliano baada ya kupima kina cha kwenda chini, kwani kina cha barabara kinafahamika tu pale udongo unapokuwa umechimbuliwa na mkandarasi wa barabara.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

TTCL– Huleta Watu Karibu.

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano

022-2142397, 022-2142171


jiji la dar lapata baraka ya mvua leo

 Hivi ndivyo hali ilivyo katika baadi ya maeneo ya jiji la Dar baada ya Baraka ya kunyesha kwa mvua kutwa nzima ya leo. 


yale yaleee......

Ndugu Ankal Michuzi,

 naomba usiitie hii habari kapuni kwani ninalotaka kuongea hapa ni mfano mdogo tu wa mambo mengi ya namna hii yanayotokea nchini hadi sasa inaonekana kama vile ni kawaida. wakati fulani mambo kama haya yanatokea katika shughuli ambazo ni nyeti sana kitu ambacho kimeanza kutoa picha na kuonyesha kuwa watanzania tumesha kuwa watu wa hovyo hovyo tu!

Sitaki kuzunguka kichaka ni bora nikikabiri. Suala lenyewe kwa kuzingatia uzito wake ni sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika. Mimi nina ndugu yangu (simtaji jina hapa) amechaguliwa kuwa mmoja wa wakufunzi watakao fundisha vijana wa halaiki kwa ajili ya sherehe hizi hapo tarehe 9/12/2011. 

Kwa sasa wakufunzi hawa wakitanzania wanapewa mafunzo zaidi na wataalamu kutoka Uchina kabla hawajaanza kazi ngumu na muhimu ya kuwafundisha vijana. Hawa wakufunzi wa kitanzania wamekuwa wakitumiwa katika maandalizi ya halaiki katika sherehe nyingi za kitaifa na za chama cha CCM. 

Ni watu wazima wenye umri na heshima zao lakini wanafanya kazi kwa kujituma, uadilifu na kwa kutambua kuwa wanalitumikia taifa kwa maana hiyo hawajaweka maslahi ya kifedha mbele. Wanafanya mazoezi magumu kila siku kuanzia asubuhi ya saa tatu na kumaliza saa kumi. 

Haya mazoezi yataendelea hadi hapo zitakapotimia wiki tatu hapo mwisho wa mwezi wa kumi, na baada ya hapo kuanzia tarehe 1/11/2011 wataanza kufanya kazi na vijana.

Kabla hawajaanza mafunzo haya kuna watu kutoka serikalini waliwaambia kuwa baada ya kukaa kikao na kufanya maamuzi wameona kuwa itakuwa vyema kwa wakufunzi hawa wa kitanzania kulipwa Tsh 50,000 kwa siku hadi tarehe 9/12/2011. 

Hayo ni malipo ya kila kitu ikiwa ni pamoja na chakula na nauli ya kwenda kazini na kurudi majumbani kwao. Sasa cha ajabu ni kwamba tangu wameanza mafunzo haya hawajalipwa kitu. 

Cha kushangaza ni kwamba hata kabla hawajalipwa Tsh50,000 kama walivyoahidiwa waheshimiwa wanaosimamia maandalizi haya wamekuja kuwaambia kuwa sasa kuna mabadiliko baada ya maamuzi kufanyika katika kikao ambacho waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda alikuwepo. Mabadiliko yenyewe ni kwamba sasa watalipwa Tsh10,000 kwa siku, kwa wiki tatu, na kisha watalipwa Tsh 50,000 kwa wiki ya mwisho watakayofanya kazi na vijana.

Swali ni kwamba hivi watanzania tumerogwa? Hivi ni nani asiye na ubinadamu aliyekaa kwenye kikao na kuamua kuwa mtu mzima mwenye ujuzi wake, mwenye familia, anaye shinda kutwa nzima akifanya kazi nyeti kama hii anaweza kulipwa Tsh 10,000 kwa siku? Katika zama hizi za maisha aghali kama haya elfu kumi inakusaidiaje! Hivi kweli waziri mkuu anafahamu kuwa mabadiliko haya yamefanyika? 

Kuna maswali mengi sana ya kuuliza hapa na ninaimani wakufunzi hawa pamoja na ndugu yangu wanaogopa kulalamika, kugoma au kulipeleka mbele. Wameambiwa sherehe hizi zinasimamiwa na ikulu moja kwa moja na ukisha taja ikulu basi :)

 Wanafanya kazi kwa unyonge wakijua kuwa kuna mizengwe hapa wanaendelea kufanya kazi ingwa wakirudi majumbani wana lalamika sana na kusema wanaonewa lakini hawana mtetezi. Hivi Tanzania ya leo imekuwa ya kula! kula! kula! kula! kula tu! bila hata kufikiria nini madhara yake siku za usoni. Hivi watu serikalini mnafikiria vipi kama wananchi hawatakuwa na imani na serikali yao?!

Sherehe hizi tungependa ziwe ni za kihistoria na kivutio hata kwa watu wa nje kwani hii ni nafasi ya pekee kabisa. Tanzania haitakuja kuwa na miaka hamsini tena.Kama hawa wakufunzi hawajaridhika tusishangae halaiki ikajakukosa kiwango na tuka aibika. Hii kauli mbiu ya 'TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE' iwekeni katika vitendo kwani kama mambo ndiyo haya tutakuwa 'hatuja weza kitu na hatusongi mbele bali tunajirudisha nyuma''. 

Ni AIBU kumdhurumu hata mwenye kiduchu. Kama hili halitashughulikiwa tutafanya kila liwezekanalo ili ujumbe uweze kufika kwa kila mtu atakaye hudhuria sherehe hizi za miaka 50 ya uhuru tarehe 9/12/2011 ikiwa ni pamoja na mkuu wanchi. Naomba magazeti yafuatilie ufisadi huu na kuwatetea wavuja jasho hawa. 

Kwa leo naishia hapa. 
Ni mimi Morris


LIGI DARAJA LA KWANZA TANZANIA BARA KUANZA OKTOBA 15

Wakati Ligi Daraja la Kwanza imepangwa kuanza Oktoba 15 mwaka huu, klabu saba kati ya 18 bado hazijalipa ada ili timu zao ziweze kushiriki katika ligi hiyo iliyogawanywa katika makundi matatu.

Klabu ambazo hazijalipa ada ya kushiriki ya sh. 200,000 ni AFC ya Arusha, Majimaji ya Ruvuma, Polisi ya Iringa, Polisi ya Tabora, Rhino Rangers ya Tabora, Small Kids ya Rukwa na Transit Camp ya Dar es Salaam.

Mwisho wa kuwasilisha usajili wa wachezaji na kulipa ada ya ushiriki ni Oktoba Mosi mwaka huu. Klabu ya Burkina Faso ya Morogoro imelipa nusu ya ada ya ushiriki ambapo imetakiwa kumaliza kiasi kilichobaki ifikapo Oktoba Mosi mwaka huu.

Vilevile kuna klabu tatu ambazo bado hazijawasilisha usajili wa wachezaji wa timu zao kwa ajili ya ligi hiyo. Klabu hizo ni AFC ya Arusha, Morani ya Manyara na Temeke United ya Dar es Salaam.

Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) itakutana Oktoba 2 mwaka huu ambapo pamoja na mambo mengine itaidhinisha timu zilizokidhi kanuni za kucheza ligi hiyo ili Kurugenzi ya Mashindano ya TFF ipange ratiba ya ligi hiyo.

Timu 18 za Ligi Daraja la Kwanza ni Burkina Faso, Mgambo Shooting ya Tanga, Morani, Polisi ya Dar es Salaam, Temeke United na Transit Camp ambazo ziko kundi A. Kundi B lina timu za Majimaji, Mbeya City Council, Mlale JKT ya Ruvuma, Polisi ya Iringa, Small Kids na Tanzania Prisons ya Mbeya. Kundi C lina timu za AFC, Polisi ya Morogoro, Polisi ya Tabora, Rhino Rangers na Samaria ya Singida.

Boniface Wambura
Ofisa Habari


waziri mkuu akutana na balozi wa denmark na balozi wa china ofisini kwake leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Denmark nchini, Mh. Bjarne Henneberg Sorensen ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya kumuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa China nchini, Mhe. Liu Xinsheng, kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


40 designers from 21 countries are set to rock Luanda at the 2nd Annual Fashion Business Angola from 14 to 16 October

In a co-organization between FIL – International Fair of Luanda - and the Angolan Ministry of Mining, Geology and Industry, over 130 exhibitors in fashion, apparel, costume, jewellery, accessories and beauty will gather for the biggest fashion and beauty expo on the continent.

“Angola is one of the fastest growing economies in Africa, as such it is the perfect locale to celebrate fashion on the continent. My vision is to make Angola the go to destination for Fashion from Africa.

After the success of the first edition, I am encouraged to realise this dream,” says Mr Matos Cardoso, the President of the Board of FIL Angola, and the man behind Fashion Business Angola.

World-renowned Portuguese design duo Alves Gonçalves join this year’s line-up, which boasts 7 designers from South Africa, including heavy weights such as Klûk CGDT and David Tlale who both boast accolades such as Designer of the Year, respectively.

Two designers from North Africa, Salah Barka of Tunisia and Soucha of Egypt will also join the line-up of designers.

“We have been working hard to make the 2nd chapter of Fashion Business Angola even more successful than the inaugural event,” says Jan Malan of Umzingeli, the show's Fashion Director. “Fashion Business Angola has the potential to unify and bring together the fragmented fashion industry on the continent.”

Also invited to show their best work at Fashion Business Angola are three fashion week platforms: Dakar Fashion Week that was recently held by Adama Paris; Colour in the Desert Fashion Week, which was held Botswana headed up by Mpho Kuaho; as well as Swahili Fashion Week from Dar-es-Salaam, Tanzania under the auspices of Mustafa Hassanali.

“Fashion Business Angola is not just about shows. It's about the business of networking designers, manufacturers and retailers across Africa and promoting African resources on African soil to a local and international audience,” says Malan.

26 international models representing 10 countries worldwide will be flown in by TAAG, the national airline of Angola from Rio, London, Paris, Johannesburg and Cape Town.
Celebrating Angola’s win at Miss Universe, Fashion Business Angola will also be celebrating successful international models that hail from Angola. 

Sharam Dinez will fly in from London and Roberta Narciso, a top 10 winner in the 2010 Elite Model Look, will fly in from Paris, fresh from featuring in the most recent spate of fashion weeks in Europe. Nayma Mingas, Angola’s most successful modelling export will make a special appearance.

For the full list of participating designers please contact Jan Malan at janmalan@janmalan.com or Tatiana Augusto at tatiana.augusto@fil-angola.co.ao


msaada kwenye tutazzzz: mpwa asaka mume...

ankal assalamallaikum. 


Ankal mpwao nimekwama naomba msaada hapo tuta
la pili tafazali kupitia mtandao wako .
mimi nahitaji mwanaume wa kunioa sio kuchakachua!
ni mwanamke wa kiislam nina miaka 38 na nina mtoto. ni msomi
wa elimu ya degree na nimeajiriwa katika idara ya serikali nina kipato cha
kati tu. nahitaji kupata mwanaume wa kunioa, popote duniani mradi tu awe
Mtanzania,  Muislam na anaejua nini maana ya Uislam. awe na kipato chake cha
kuajiriwa au kujiajiri.( asiwe wa kumaliza makochi kwa kutazama tv) asiwe na
umri wa chini ya miaka 35 na asizidi 50.

mwenye kutaka kuwasiliana kwa sifa nilizotaja atume email ktk address
M2193M@gmail.com. Please ankal keep my name


canter latumbukia baharini huko Pemba

Wakati wazamiaji (hawaonekani pichani) wakiwa chini ya bahari wakisaidia kuvuta gari ikiwa katika kiwango cha mita tisa na kuisogeza karibu ya ufukwe. Hakuna mtu aliyepata madhara ya aina yoyote.
Wananchi wa mkoani wakisaidia kulivuta gari aina ya canter iliyozama  katika gati ya mkoani ilipokua ikitaka kushusha marobota ya mwani kisiwani Pemba. Picha na mdau Nafisa Madai


Innocent Mungy spits fire at the first marketing communications conference

Mr Innocent Mungy from the TCRA making a presentation today during the Tanzania Marketing Comunications Conference at the Golden Tulip Hotel in Dar es salaam.  In his  presentation Mr Mungi dealt on what works in the real world, insisting that in today’s competitive world, one  cannot carve a rotten wood, in that if a service is bad, the best  PR tactics or an interesting article  of feature story cannot make them good.


patakuwa hapatoshi tusker all stars 2011 ndani ya carnivo jijini nairobi.

Pichani kulia ni Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya EABL-Kenya ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha la Tusker All Stars,hilo kupitia kinywaji chao cha Tusker,Caroline Ndungu akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na tamasha hilo ndani ya moja ya ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Serena akiwa na wanamuziki wote ambao watatumbuiza kwenye tamasha hilo,ambalo limekuwa na msisimko mkubwa hapa jijini Nairobi.aidha ndani ya tamasha hilo mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 haruhusiwi.
Baadhi ya wasanii watakaoshiriki kwenye tamasha la Tusker All Stars 2011 wakiwa kwenye mkutano na wanahabari ndani ya Serena hotel kuhusiana na tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kesho kwenye viwanja vya Carnivo,jijini Nairobi.Shoto ni Msanii Amani,Jaguar pamoja na Alpha.
Mmoja wa Wakurugenzi wa Clouds Entertainment,Ruge Mutahaba pichani kulia akizungumza jambo na Shaggy leo mchana nje ya hoteli ya Kimataifa,Serena,jijini Nairobi.
Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya EABL akitoa maelekezo mafupi kwa Wanaumuziki namna kushiriki ama kuunga mkono kampeni mpya ya kupambana na suala zima la ulevi kupindukia.Bofya Hapa kwa picha zaidi,


SHUKURANI

MAREHEMU THERESIA VERONICA RWEYEMAMU 

KUZALIWA 23.04.1973 KUFA 03.09.2011

Familia ya Bwana Burchard Rweyemamu na Godeliva Rweyemamu, wanapenda  kumshukuru Mungu na pia kuwashukuru wote waliofanyika faraja wakati wa kipindi kigumu cha kuondokewa na binti yao mpendwa Theresia Veronica Rweyemamu (maarufu kama Koku Mkubwa).

Shukurani za pekee ziwaendee Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Lugalo, watumishi wa Mungu wa kanisa la Breakthrough - Boko chini ya uongozi wa Mchungaji Gosbert Semtomvu na kanisa la Living Water (Makuti) Kawe chini ya uongozi wa Mtume Onesmo Ndegi.

Pamoja na majirani wote, Ndugu wote, jamaa na marafiki wa familia.

Kwa kila aliyejitoa kwa namna moja ama nyingine Mungu atamlipa kwa majira sahihi, maana ulichokifanya kwetu ni kupanda mbegu na utavuna kwa kipimo cha kujazwa na kusukwa sukwa.

Tunamshukuru Mungu kwa kutuponya kidonda, maana hatuna maumivu ndani ya mioyo yetu lakini kovu haliwezi kufutika kamwe.

Daima utakumbukwa na Baba na mama yako, watoto wako Irene na Billy, kaka zako Richard, Rutakinikwa, Ndyamkama, na Rutahiwa, dada zako Felista, Anita na Devota bila kumshahau Bibi yako Theresia Rwakyendera.

Biblia inasema katika kitabu cha Ufunuo 14:13 "Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa....." japo kimwili ni mfu lakini tunaamini nafsi yako hii hai ikimtukuza na kumshangilia Bwana milele. Amina


mambo ya prezidaa joseph kabila


BLIND TIGER TO SERVE (BEER) COCKTAILS AT THE KILIMANJARO BEER FEST THIS WEEKEND!!

Ever tried a beer cocktail??? You'd be suprised!! Come and try the world's most humble beverage in a truely innovative fashion at the very first Oktoberfest to hit Tanzania this weekend!

However, fear not - Blind Tiger will also be serving fruity frozen cocktails, cooling classics and other heavenly delights to offset the beer blitz that will be the Kilimanjaro Beer Fest, and provide a more refined drinking experience for those less inclined towards the amber brew! The Blind Tiger menu would of course be incomplete without tasty mocktails, exciting shooters, and an array of Bacardi Breezer flavours!

Come and find the Blind Tiger tent, from 10am this Saturday the 1st of October to late on Sunday 2nd October at Leaders' Club, Kinondoni.

Karibuni sana!
--
KIRSTY MACDONALD
CO-FOUNDER & DIRECTOR
BLIND TIGER COCKTAILS & ENTERTAINMENT

T:             +255 683 326270       /             +255 717 326270      
E: kmacdonald@blindtiger.co.tz
W: http://www.blindtiger.co.tz/


Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker