In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

DKT. SHEIN AZINDUA JUMUIYA YA KUZUIA KUKINGA NA KUONDOSHA MAJANGA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akionesha vitabu baada ya kuvizindua wakati wa uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya hiyo Najima Murtadha Jiga,na (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanajumuiya na wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akibonyeza Kompyuta kuashiria uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana,(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya hiyo Najima Murtadha Jiga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipeana Mkono wa Shukurani na Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya (DCPM) Hassan baada ya uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.
Baadhi ya wadau mbali mbali na wanajumuiya,pamoja na wananchi walioalikwa katika uzinduzi wa uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza baada ya kuizindua jumuiya hiyo,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.Picha na Ramadhan Othman IKULU.

Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Mohamed Anasema:

    Hongera sana kaka Hafidhi kwa kuendeleza mapambano kwa manufaa ya Nchi yetu. M.Mwaupete

  2. Anonymous Anasema:

    kitabu au kurasa za A4?

  3. Anonymous Anasema:

    Ni watanzania wangapi wanauwezo wa kuingia kwenye mitandao kuona hayo yaliyomo?

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker