In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

JK awasili mjini addis Ababa kuhudhulia Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Makao Makuu ya Umoja wa Africa leo mjini Addis Ababa,Ethiopia.Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. bernard Membe. Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika umeanza leo asubuhi mjini Addis Ababa. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,Ethiopia leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo.
Viongozi wa Afrika wanasimama wakati wimbo wa Umoja wa Afrika unapigwa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadilaiana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh Bernrd Member na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dr Mwinyihaji Makame  katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,Ethiopia leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Paul Kagame wa Rwanda kabla ya kuanza rasmi kwa mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akipanda mti kama kumbukumbu ya mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,Ethiopia leo.Picha na IKULU.

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    vipi JK leo kakutana na nani? maana yeye huwa hakutani na viongozi hadi mikutanoni anapatiahapo hapo kuondoa gharama,lakini kweli hawa waafrica hana shida nao kukutana nao

  2. Anonymous Anasema:

    BABA HUKU MADAKTARI WAMEGOMA NA WATU WANAKUFA SIO UTANI

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker