Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Mkuranga na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima (watatu kulia), Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (wapili kulia) na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Busega, Titus Kamani kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
















































Pica ya chini kabisa, koti la Pinda limekuwaje leo?
Dah! naona wote wanatabasam, posho ya 330,000tsh kwa siku si haba. Huku madaktari wetu wakipewa posho ya mwekundu wa msimbazi mmoja kwa siku (10,000tsh). Bravo JK!!
Hivi wanajua wanachokifanya kweli watu wanakufa ovyo muhimbili nyinyi mnatabasamu.......
Kafulila mbona kila siku unavaa nguo hizo hizo tu?
wanaonekana kufurahia maposho makubwa!!!! Never seen a happy community like that, wot on, jinsi wanavyokula nchi. Wajukuu zetu will have nothing, mali yote itakuwa mikononi mwa hao wachache. Eti wanamikopo, do they need loans or loans are a personal matter!!
Hawa watu wa Mkapa mbona wana vunjika vunjika miguu
kazi kweli sasa hawa madaktari si mngewapa hizo posho nao wacheke kidogo,jaman nisaidien rita mlaki ni mbunge tena???????
Majina ya wanawake yanakosa.
huyo aliyevunjika mguu ni mbunge wa jimbo gani?
Mheshimiwa nakushauri umweleze PM kuwa mguu wako utakatika kwani wa kukuandikia kibali cha kwenda apolo wako kwenye mgomo!! Cijui ile green card yako iko live! otherwise no more apolo!