Rais Jakaya Kikwete akiongea na mabalozi aliowakaribisha katika tafrija ya Mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wakati wa tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam leo.PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mnikulu wetu next time tafuta mazulia yapasayo, zulia namna hii yanatengenezwa special kwa ajili ya misikiti ya waislamu pale wakisali, inadhalilisha ukiona zulia linalosujudiwa watu walikanyaga kwa mokas, lakini kwa upande mwengine watani wa jadi watahisi kama Ikulu kunafavor uislam kwa kuchukua mapambo yakule kuyaleta hapa

    ReplyDelete
  2. Nyinyi wazee munaosema Saudia watu weusi ooooo wote sijui walifanywa nini.... basi huyo aliyevaa joho na kilemba cheupe mstari wa mbele ni Balozi wa Saudia.

    Angalieni rangi na wasifu wake.

    ReplyDelete
  3. Sijaona mtu mpungufu wa mawazo kama wewe anonymous wa kwanza hapo juu.
    Utumbo mtupu umejaa kichwani kwako. Mijitu kama nyinyi mkipewa nchi si Hatari hii.Ankal next time usiwape nafasi wabaguzi kama hawa, ni sumu mbaya na kali kwa Taifa lolote. Ovyooooo

    ReplyDelete
  4. Maoni yasigombanishe wadau.kwani kila mmoja anayohaki ya kutowa mawazo yake kuhusinana na mada au pisha iliyopo hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...