In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

TAARIFA YA MSIBA WA SAID TAMIMU ALLY

Ndugu zangu
TAARIFA YA MSIBA WA SAID TAMIMU ALLY 
Ningependa kuwajulisha kuwa  Tamimu amefariki dunia Usiku wa kuamkia Jumapili  na mazishi yalifanyika jana saa kumi jioni makaburi ya Tabata Segerea. 

Natoa shukrani zangu za dhati na kwa niaba ya familia ya ndugu Said Tamimu Ally. 
Nashukuru sana kwa wote waliotoa michango yao ya mali na hali kwa ajili  ya kuokoa maisha ya  ndugu yetu Tamimu.Shukrani pekee ziwaendee ndugu walioko UK, USA Norway, Canada Muscat, Dar es salaam,Tabora, Arusha na sehemu nyinge nyingi  kwa msaada wao wa hali na mali ikiwemo ushauri na kutoa pole.

Kuna Maoni 18 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Poleni sana. Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi. Inauma sana.

  2. Anonymous Anasema:

    Mungu aiweke mahala pema peponi roho yake.

  3. Anonymous Anasema:

    Maisha kweli hayajahaidiwa kwa mtu hatujui lini wala muda tunaweza kuondoka. Mimi na jamaa wengi kwenyi hii blog tuliguswa na story huyu jamaa tukatoa michango ya mali na mawaidha lakini sasa inakuwa kama si kweli ya kwamba amefariki dunia. Namuombea kwa Mungu amlaze pema peponi.

  4. Anonymous Anasema:

    Mwenyezi Mungu amjalie pumziko jema la milele. Amina.

    Tafadhali rekebisha lugha. Badala ya "Ningependa kuwajulisha...." andika "Ninasikitika kuwajulisha...." Namna hii sio utamaduni wetu wa kupashana habari za misiba.

  5. Anonymous Anasema:

    DAH POLENI WAFIWA.INASIKITISHA SANA. Na azizdi kuwapa wanafamili moyo mzuri zaidi . AMLAZE MAHALI PEMA.AMIN.

  6. tz biashara Anasema:

    Inna lillah wainna ilaihi raajiun.Mwenyezi mungu awape subra kwa familia yake Inshaallah.Na mwenyezi mungu amuhifadhi peponi.Amin

  7. Anonymous Anasema:

    Inalilllah wainailaih rajiuun, hakika sote ni waja wa mwenyezimungu na kwake tutarejea. Tumuombe Mungu ampe njia ya salama na amani ndugu yetu aliyetangulia na ziada awalipe ujira wale wote waliojitolea kumsaidia hasa dada Ana ambaye alikuwa mstari wa mbele ingawa Said hakuwa ndugu yake. Huu ndio upendo wa dhati ambao sote Watanzania tunapaswa kuwa nao.
    rm

  8. Anonymous Anasema:

    INNALILAHI WAINAILAYHI RAJIUNNN

  9. Anonymous Anasema:

    INNALI LLAH WAINNA ILAHI RAJIUUN!

  10. Anonymous Anasema:

    Mwenyezi mungu ampumzishe mahala pema,na azidi kuifariji familia...too sad!

  11. Anonymous Anasema:

    Simjui Saidi, lakini lazima nikiri kuwa matone ya machozi yalinitoka niliposoma taarifa hii. Poleni wafiwa. Mungu amuweke Saidi Tamimu mahali pema peponi. Amin.

  12. Anonymous Anasema:

    Very sad news. Poleni wafiwa. RIP Said Tamimu.

  13. Anonymous Anasema:

    Poleni wafiwa mungu akupeni nguvu..katika wakati huu mgumu...na pia inasikitisha kuona mtoto akiwa katika hali kama hiyo..hospitali zote zinashindwa kuonyesha ujuzi wao hata bure ili kuokoa maisha ya mtoto..dhani kusubili michango inauma saaaana..ni .mimi tembo dume..waosha midomo mnakaribishwa.

  14. kajole Anasema:

    poleni sana wafiwa na mwenyezi mungu amlaze pahala pema peponi

  15. Anonymous Anasema:

    INNALI LLAH WAINNA ILAHI RAJIUUN!

    AALLLLAH MAGHFIRLAHU MARHAMHU FIL JANAH

  16. Anonymous Anasema:

    Wadau waliochangia Mungu awabariki sana, hii ndio maana ya DINI SAFI, KUWASAIDIA WENYE MAHITAJI NA SHIDA.
    Unaweza usiwe unaenda msikitini au kanisani, lakini iwapo binadamu atafanya hivi basi anamzidi hata yule ashindaye katika majumba ya ibada.
    Inauma sana.
    Mungu ampumzishe kwa amani.

  17. Anonymous Anasema:

    Poleni sana wafiwa. Roho ya marehemu ipunzike mahali pema peponi. Amen

  18. Anonymous Anasema:

    Mungu amlaze mahala pema peponi. Amina.

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker