In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

Wakulima wa zao la Karafuu Kisiwani Pemba watakiwa kutohifadhi Karafuu zao Majumbani

Marzuku Khamis - Maelezo Pemba.

Wakulima wa zao la Karafuu Kisiwani Pemba wametakiwa kutohifadhi Karafuu zao Majumbani na badala yake wazipeleke katika vituo vya ununuzi vya Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC) kwa ajili ya kuziuza badala ya kuzirundikiza Majumbani mwao kama inavyojitokeza hivi sasa

Wamesema kufanya hivyo kutawaepushia na vitendo vya Wizi na pia kuweza kupata uzito mkubwa wa Karafuu zao zitakazowapatia pato zuri zaidi

Wakuu wa vituo mbali mbali vya ZSTC vya unuzi wa karafuu waliyasema hayo wakati walipotembelewa na kamati ya kitaifa yakudhibiti zao la Karafuu Zanzibar wakati walikpokuwa wakitembelea vituo mbali mbali vya ununuzi wa karafuu pamoja na vikosi vya ulinzi wa zao hilo kisiwami Pemba.

Wamesema kuwa ukweli hivi sasa Msimu wa Uchumaji wa Karafuu upo ukingoni lakini kilichobainika kuwa bado Karafuu zimo Katika majumba mbali mbali ya wakulima hivyo ni wajibu wa kila mkulima hivi hivi sasa kuzipeleka kwenye vituo vya ZSTC kwa kuziuza jambo ambalo litakuwa ni faida kubwa kwao na serikali kwa jumla.

Wakizungumzia juu ya suala la malipo ya Wakulima wanaouza karafuu zao humo vituoni wamesema kuwa hakuna hata Mkulima mmoja aneidai ZSTC na mtu yoyote anaekwenda kuuza Karafuu zake mara tu baada yakuuza anapewa malipo yake yote.

Aidha wakuu hao wa vituo wamesema kuwa kwa ujumla kazi ya ununuzi wa Karafuu imekwenda vizuri na mashirikiano kutoka kwa wauza karafuu pia yalikuwa mazuri na makubwa na kutowa wito kwa Wakulima kuharakisha kuzipeleka Karafuu zao Kuziuza hivi sasa Katika vituo vya ZSTC kwani wasije kupata usumbufu pale ZSTC itakapoamuwa kupunguza vituo hivyo Vijijini na kuvibakisha vituo vya Mijini.

Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Mustafa Mohamed Ibrahim ambae ni mjumbe wa kamati ya kitaifa ya kudhibiti zao la karafuu Zanzibar amesema kuwa amefarajika sana na kazi nzuri inayoendelea kufanyika katika utekelezaji wa kazi za ununuzi wa Karafuu na kuwataka Wakuu hao kuendelea kutoa Mashirikiano kwa Wakulima wa zao la Karafuu kwa kuwakumbusha kuzipeleka kuuza karafuu zao haraka kwenye vituo hivyo vya ZSTC na kutozihifadhi majumbani.

Katika ziara hiyo wajumbe wa kamati ya kudhibiti zao la Karafuu Zanzibar ambayo ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa Kusini UngujaMustafa Mohamed Ibrahim ilitembelea Ghala kuu la kuhifadhia karafuu lilioko Mkoani, Kituo cha ununuzi wa Karafuu cha Kiwani,Chanjaani,Bwagamoyo, Raha,Mgogoni,Kisiwani, Mtambile na Chumbageni Wambaa.

Pia Wajumbe wa kamati hiyo walitembelea kambi za Vikosi vya Kudhibiti Magendo vya Chaanjaani na Mkuumbuu.

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker