Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dkt Yassir Mohamed Ali, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sasa barozi wa sudani ipi? ya kaskazini au kusini?

    ReplyDelete
  2. unaposema balozi wa sudan inabidi uwe specific suadan ya kusini au kaskazini.

    ReplyDelete
  3. Ni BALOZI sio "BAROZI" lugha yetu wenyewe hatuijui.Nadhani atakua North Sudan kama sikosei.

    ReplyDelete
  4. Jamani hakuna nchi inayoitwa North Sudan. Kuna Sudan na South Sudan.

    ReplyDelete
  5. Huyu ni Balozi wa North Sudan (Khartoum),,,hawa hawana mpango wamesha filisika ,wamebaki kuwabania wenzao Kusini na mabomba ya Mafuta na Mitambo yao, wanatapatapa wameomba kujiunga Afrika Mashariki tumewamwaga,,,SISI TUNAWATAKA wenzao ''REPUBLIC OF SOUTH SUDAN-JUBA'' Wajanja na wenye Mafuta yao ndio waingie AFRIKA YA MASHARIKI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...