KIJEBA: Raia wa Nepal, Chandra Bahadur Dangi, mwenye umri wa miaka 72, anasemekana kuwa ndiye mtu mfupi zaidi duniani. Anataka atambulike hivyo. Ana urefu wa sentimeta 56.4 na uzito wake ni kilogramu 12.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. 100% confidence levelFebruary 27, 2012

    Mbona watoto hujasema anao wangapi?Ila mdau umetudanganya.Urefu wake ni sentimeta 54.6 na uzito kilo 14.5 na siyo kama ulivyoandika.Next time kwa manufaa ya wasomaji wa blogi ya jamii,tutoe taarifa ambazo ni sahihi.Unaweza kupata taarifa zaidi za huyu Nepalian man kupitia
    http://edition.cnn.com/2012/02/26/world/asia/nepal-shortest-man-ever/?hpt=ias_t5.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...