THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

mwali wa carling atiwa kibindoni bwawa la maini!!

Bwawa la Maini wamewatungua Cardiff City na kutwaa mwali huyo hapo juu usiku huu. Bwawa Oye!

Kuna Maoni 10 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Kombe lenyewe kombe ka mbuzi! Watu tunabeba Barclay's.

  2. Anonymous Anasema:

    Club ya kihistoria watasema sana kombe la mbuzi na ndiyo tumetoa nuksi hapo kaeni vizuri nyie machava....

  3. Anonymous Anasema:

    kwa kweli wale watoto walikaza sana lkn kombe lilikuwa letu.hawa wangekuwa ligi kuu timu kubwa zingepata tabu.ila cha kushangaza mechi iliyopita walifungwa na ipswich town 3-0

  4. Anonymous Anasema:

    Jamani watoto wa leo ongeleeni maendeleo ya nchi yenu sio vilabu vy wazungu hivi vitatupeleka wapi. Nyerere alisema tutatawaliwa mpaka nanihii zetu. Tunayaona bado tuhai.

  5. Anonymous Anasema:

    Shangwe ina wenyewe hata kama kombe la "kuku" mtakoma!!

  6. Anonymous Anasema:

    Thanks God.

    Carlos Muhuga

  7. Anonymous Anasema:

    Huu Ushindi Bwawa la Maini ni wa Ankal mwenyewe si ndio alikuwa huko UK amefunga bao Kombe Mkononi yeye akajikataa anangoja aitwe tena Kikosini amerudi Bongo!

  8. Anonymous Anasema:

    Kazi ya Liverpool hiyo, kuchukua makombe yasiyokuwa na kipaumbele kwa timu kubwa. Eti Gerrard anashangilia , shauri lako utabaki hapo hapo tu na kama unaendelea n Livepool basi tena hutofanikiwa kutwaa kombe la EPL.

  9. Anonymous Anasema:

    kombe la mbuzi? kwani man u anacheza kombe gani sasa hivi? we lazima utakuwa manu?

  10. Anonymous Anasema:

    kwahiyo kama nyerere alisema! sisi tufanye nini

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker