THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

NAIBU SPIKA MGENI RASMI MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA SHULE YA MT. THERESIA

Naibu Spika, Mh. Job Ndugai akitoa hotuba yake alipokuwa Mgeni Rasmi katika mahafali ya kidato cha Sita katika shule ya Sekondari ya Mt. Theresia iliyoko Kisongo mkoani Arusha mwishoni mwa wiki. Katika hotuba yake Mhe. Naibu Spika aliwahimiza vijana kutambua kwamba hivi sasa soko la ajira lina ushindani mwingi sana na hivyo yawapasa vijana kuthamini elimu na pia kupata ujuzi mwingine kama vile lugha za kigeni na kompyuta ili kuwa na sifa za kuajirika vizuri na pia kuweza kushindana vizuri katika sekta binafsi.
Naibu Spika,Mh. Job Ndugai akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita katika shule ya Mtakatifu Theresia mkoani Arusha jana. Shule ya Mtakatifu Theresia inamilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Kaskazini ambapo jumla ya wahitimu 87 walikabidhiwa vyeti vyao vya kumaliza kidato cha sita hapo mwishoni mwa wiki. Hii ni moja ya shule zinazofanya vizuri sana kielimu Kanda ya Kaskazini ambapo katika mitihani ya Kidato cha Pili iliyofanyika mwaka huu shule hiyo ilishika nafasi ya 9 kati ya shule 300 za Kanda.Picha na Saidi Yakubu wa Ofisi ya Bunge.

Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Hivi jamani haya mavazi si yamepigwa marufuku? hapo unaweza fikiri wamemaliza chuo kikuu na mgeni rasmi ni anatoa vyeti kwa wahitimu wa PhD... naomaba tuacha ne na mavazi ya elimu ya juu ... uniform inatosha tuuuuuuuuuuuuuuuuu.....

  2. Anonymous Anasema:

    Sahihisho: Hakuna Jimbo la Kaskazini katika oganaizesheni ya Kanisa Katoliki.

    Shule ipo Jimbo Kuu la Arusha.

  3. Anonymous Anasema:

    Jamani mavazi ya elimu ya juu yanapendeza saaaana.

  4. Anonymous Anasema:

    Haya mavazi ya elimu ya juu yanapendeza sana.

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker