THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

Watafiti wa kimataifa watua Samunge kutesti kikombe cha babu

WATAFITI wa kimataifa wa masuala ya tiba na wanahabari kutoka Japan wamefika Samunge kuendelea kutafiti dawa inayotolewana Mchungaji Ambilikile Masapila.

Mmoja wa wasaidizi wa Mchungaji Masapila, Paulo Dudui, alisema Wajapani hao wamefika hivi karibuni na watafiti wengine tokanchi za ulay ikiwepo Ujeremani na Uingereza .

“Wanakuja watafiti wanachukua dawa wanasema wamepata taarifa za dawa hizo wakiwa nchi kwao,” alisema Dudui.
Akizungumzia tiba hiyo, Dudui alisema bado inatolewa ingawa ni watu wachache wanaofika.
“Watu wanakuja na babu bado anasema kuna miujiza mingine itakuja na anaendelea na ujenzi wa kituo kipya cha tiba,” alisema Dudui.

Kampuni ya Simu ya Vodacom haitafunga huduma zake Kijiji cha Samunge , wilayani Ngorongoro, ambako maelfu ya watu walikuwa wakifika kupata kikombe cha tiba kwa Mchungaji Masapila licha ya sasa watu kupungua na wanaofika wengi ni watafiti.

Kampuni kadhaa ya simu zilifikisha huduma zake Samunge kuanzia Mei mwaka jana kutokana na kufurika kwa watu kupata kikombe cha tiba, lakini sasa baadhi ya kampuni zimesitisha huduma eneo hilo.
Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando, alisema wakazi wa Samunge wataendelea kupata huduma zote za kampuni hiyo.

“Ni kweli kuwa hivi sasa kuna wateja wachache Samunge na ni gharama kuendesha mtambo kule, lakini Vodacom hatutafunga mawasiliano kwani kuna wateja wetu wengi eneo hilo,” alisema Kamando.

Alisema wateja hao na wengine wa Mkoa wa Arusha na maeneo mengine, wamekuwa wakinufaika na huduma za kampuni hiyo, ikiwapo ya kutuma na kupokea fedha kupitia simu zao.

Awali, Meneja wa Vodacom Arusha, Jerome Munishi, alisema kampuni hiyo mkoani hapa ina mawakala 600 ambao wamekuwa wakitoa huduma mbalimbali.

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Mwasapile tena!! Si waende tu wizara ya Afya wakachukue majibu ya uchunguzi wetu?

  2. Wilguy Anasema:

    Naomba kujua ule uchunguzi wa serikali kupitia Wizara ya Afya umefika hatua ipi? Na nini kinaendelea?
    Pili, Babu Mwasapila amekuwa akisema dawa yake ni ya miujiza ya Mungu, lakini (kwa mujibu wake wa Babu) amepewa masharti mapya. Sas je, dawa za 'maajabu' zitathibitika katika maabara?

    Naomba Serikali iwe makini na hawa waganga, kwani wanaweza kuangamiza Taifa.

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker