THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

  • P. O. Box 33909, Dar es Salaam, Tanzania.  Tel: +255 22 26647870/1/3  Fax: +255 22 2647872. www.giraffeoceanviewhotel.com

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Zanzibar akutana na waandishi wa habari

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillahi Jihad Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na maendeleo na Malengo ya wizara yake huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hio Ali Mwinyikai na kushoto ni Naibu katibu Mkuu Issa Mlingoti.
Mwenyekiti wa Kamati ya Wazazi Ali Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na suala zima la kufutiwa matokeo kwa Wanafunzi wa kidato cha nne Zanzibar kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa D,C,P,M Najma M,Giga na kushoto yake ni Katibu wa kamati ya Wazazi Saleh mohd Saleh.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiuliza maswali katika mkutano wa Kamati ya Wazazi kuhusiana na tukio zima la kufutiwa matokeo kwa Wanafunzi wa kidato cha Nne Zanzibar.

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Wazanzibar wavivu wa Masomo, wanataka kufaulu kwa kununua Mitihani badala ya kusoma.

    NECTA imefanya uamuzi sahihi kufuta matokeo baadaya kubaini uvujaji wa Mitihani.

    MASOMO YATAKA BIDII YA KUSOMA YAKHEE NA SIO KUGHUSHI MITIHANI!

  2. Anonymous Anasema:

    Mtoa mada hapo juu wacha stihizai, mitaala ya masomo bara na visiwani ni tofauti sana hivyo kuwafanyisha mitihani sawa vijana wa sehemu hizo mbili tofauti si kuwatendea haki. Wizara ya elimu miaka michache iliyopita chini ya mh. Haroun Suleiman aliamua kuanzisha utaratibu wa mchepuo kwa vijana wa darasa la saba kuendelea Form 1 ili angalau kuendana na bara. Hata hivyo mfumo huu haujashika kasi kwa kuwa msingi wa elimu bado haujaanza kuendana na ule wa bara, waziri wa elimu wa sasa anatakiwa kuendelea pale alipoachia Mh. Haroun na inshallah Unguja na visiwani itakuwa nguvu sawa baadae.

Idadi ya watu
Idadi ya watu
eXTReMe Tracker