WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora , Haji Omar Kheir akihutubia katika sherehe za mahafali ya nne ya Chuo cha Utumishi wa Umma Zanzibar (IPA) kulia Mkurugenzi wa chuo hicho , Harusi Masheko na Mwenyekiti wa Bodi ya chuo, Abdalla Suleiman sherehe hizo zlifanyika katika viwanja vya Wizara ya Habari mjini Unguja jana.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora , Haji Omar Kheir akimtunuku zawadi mwanafunzi bora wa Diploma ya Uongozi wa Umma katika chuo cha utumishi wa umma Zanzibar (IPA), Salha Mansour katika sherehe za mahafali ya nne ya chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Wizara ya Habari mjini Zanzibar jana
 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora , Haji Omar Kheir akimtunuku zawadi mwanafunzi bora wa Diploma ya Rasilimali Watu katika chuo cha utumishi wa umma Zanzibar (IPA), Said Mbarouk katika sherehe za mahafali ya nne ya chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Wizara ya Habari mjini Zanzibar jana .
NADA Ali Khamis (kushoto) mhitimu wa Diploma ya Rasilimali Watu katika Chuo cha Utumishi wa Umma Zanzibar (IPA)akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora , Haji Omar Kheri muda mfupi baada ya kuwatunuku Stashahada wahitimu wa kada mbali mbali katika sherehe za  mahafali ya nne ya chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Wizara ya Habari kikwajuni mjini Zanzibar juzi , Nada ambaye ni mlemavu wa viungo anajishughulisha na biashara ndogo ndogo. Kulia ni Mkurugenzi wa IPA , Bi Harusi Masheko. 
Picha zote na mdau Haroub Hussein

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...