Muwekezaji huyu mwenye asili ya Kichina akifanya kazi ya ufundi kwenye moja ya majengo maeneo ya Kariakoo jijini Dar huku msaidizi wake akiangalia kwa makini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mmmh huyu muwekezaji hana cha helmet wala buti, ba hata nywele hana labda walau zingemsitiri na msumari...kaka michuzi hii si sawa

    ReplyDelete
  2. Hivi umejuaje kama ni mwekezaji?? Rangi yake au kitu gani!! Au ulimuuliza??

    ReplyDelete
  3. Kwani cha ajabu nini hapo? Vitu vingine hata havina kichwa wala miguu. Kwani hamjawahi kuwaona akina Richard Branson wanafanya vitu wenyewe?Tatizo la bobgo basi mtu akiwa bosi watu wanamtegemea avae tu suti na kutoa amri. Huo ni ubwenyenye

    ReplyDelete
  4. Tujifunze kwa hawa wenzetu kuwa unapopata nafasi ya kusave fedha kwa kuchangia kwenye kibarua basi piga mzigo.

    ReplyDelete
  5. Anony Mon Apr 16, 05:23:00 PM 2012 unapatikana wapi baada ya saa za kazi nikupatie kinywaji?
    Kweli mie nachukia sana nikiona picha na maelezo yanayochochea ubaguzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...