The 91 day reality super-series Big Brother StarGame, produced for M-Net’s AfricaMagic, is being screened live 24/7 on DStv 198. Last night (Sunday May 13), saw Maneta head to the UpVille house while Teclar, Julio and Hilda were evicted. For more information log on to www.africamagic.tv/bigbrother.
Pictured here: Hilda, Julio, Maneta and Teclar
Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepeleka the most boring male representative.Sijui huyu Julio alipelekwa kwa vigezo gani. No wonder amepata kura ya nchi moja. I Feel sorry for Hilda, she was an entertainer.She deserved to stay.
ReplyDeleteAm not trying to be racist. Hivi lazima big brother bongo tupeleke warangirangi (colored) hata kama hana lolote like this Julio? Heri ametoka, kulipia DSTV gharama. Tunahitaji kuburudisha. Karibu bongo.
ReplyDeleteSi tuliahidiwa na waziri fulani kuwa watanzania hawataruhusiwa tena kwenda kwenye big brother baada ya yule binti kutoa mambo live? sasa imekuwaje tena mwaka huu watanzania wameweza kushiriki? au ndio yale yale ya serikali yetu kuzuia jambo ambalo hata halimo katika uwezo wake?
ReplyDeletemdau wa pili, labda hao warangi rangi ndio wanaojua kiingilishi zaidi, umewaza hilo?
ReplyDeletemdau numba moja, unaposema "Tanzania tumepeleka" unamaanisha nini? hivi ni watanzania wote nchini ndio waliowachagua hawa? sikujua kama watanzania tunafanya uamuzi wa nani kwenda BB na hivyo kusema kuwa "tumepeleka"
ReplyDeleteJengine unaposema kuwa yuko boring, jee wewe uliekuwa sio boring ulijaribu kuomba kwenda huko na ukatufurahisha? Kama ulijaribu kuomba ni kwa nini hukufanikiwa? na kama hukuomba ni kwa nini ilhali unajiona kuwa huko boring hata kidogo? Domo jumba la maneno enhhh!??????
Nasikia Hilda ndio aliyeshinda. Akatakiwa achague wa kwenda nae. ndo akalibeba hilo jamaa. Imekula kwakwe. wenzake wako kikazi zaidi yeye kabeba sharobaro asiyejua kitu.Ajipange upya. may be all star game inaweza rudia akaitwa.
ReplyDeleteBusiness As Usual. Wabongo hatuko serious almost kwenye kila kitu. Unampelekaje contestant kama huyo Julio akashindane na housemates kama wale kama sio kutiana aibu watanzania.
ReplyDeleteMdau Namibia.
Hmm! hakuna cha rangi wala nn! arrangement haikukamilishwa vilivyo wamepelekwa2 kma mzigo! haijawahi kutokea!poleni
ReplyDeleteJamani hutakiwa kuwa entertainer ili kumjua entertainer. Tuna benchmark, housemates wenzake. Naungana na wadau. Julio was a big disappointment. multichoice tanzania hawakutenda haki kumpeleka mtu kama huyo out of more than 40 million population.
ReplyDeleteJULIO ALICHEZA VIZURI. TATIZO MFUMO WA KUCHAGUA WATU WA KUPIGIWA KURA UMEKUWA KAMA ULE WA JAKIPOTI BINGO. BORA INGEKUWA NOMINATION KAMA ILE YA BB ZILIZOPITA. MWISHO WA SIKU WAZURI WATATOKA WATABAKI WALE AMBAO SIO ENTERTAINERZ
ReplyDeleteDaaa. Mwoneni huruma. asijebugia poison bure. Hata ingekuwa ni wewe ukapewa shavu la kwenda kuvinjari big brother na totoz zote zile ukengekataa?? Hata kama huna vigezo kama Julio? No doubt jamaa was boring! Katoa tongotongo mwezenu lakini.
ReplyDeleteHIVI WATANZANIA MNAUMWA NINI.....? YAAANI KILA KITU MNATAKA KUSHINDA TUUUUH NDIO KUNA MSEMO MMOJA WAKENYA WANATUTANIA NAO KWAMBA UKIONA MTANZANIA KANYOOOSHA KIDOLE UJUE ANAPATA YAAANI HATUJARIBU THAT'S WHY WE ARE THE BEST LOOSER IN THE WORLD
ReplyDeleteIngekuwa busara kumpa sifa zake Hilda kuliko kuporomosha lawama kwa Julio hata kama amechemsha. Hilda was brilliant ametoka accidentally. VIVA HILDA. You rock
ReplyDeleteHivi Tanzania hatuna celebrity!! Manake kule upvile hakukuwa na mbongo.
ReplyDeleteMdau wa pili acha ubaguzi wa rangi. Julio hata angekuwa mweusi kama Baloteli asingefanya chochote. Akili kama ni maji ni maji haijalishi una rangi gani. Huyu Julio labda angenda kile kilichokuwa kipindi cha Kipanya TBC angetingisha sio kwa watu waliojipanga kama wale wa bigbrother.
ReplyDeleteHivi hiyo Big Brother Africa wamekwishatoa Tribute kwa marehemu Steven Kanumba? Mfano, habari USA wangetoa angalau dakika moja mbili kutangaza kuwa amefariki na alikuwa kwenye show kipindi fulani.
ReplyDeleteHERI KUSHINDWA KWENYE BIG BROTHER, KWANZA SI UTAMADUNI WETU INGEKUWA MIELEKA AU BAO HAPO NILIPASWA KULALAMIKA. LINGINE PIA KILICHOTAKIWA NYIE MNAOLALAMIKA KUPIGA KURA KWA WINGI KWANI UCHUNGUZI WANGU BINAFSI WATZ WENGI WANAPENDA KUANGALIA TV KAMA TUSKER PROJECT FAME, BONGO STAR SEARCH ETC LAKINI LINAPOKUJA SUALA LA KUPIGA KURA HUONI HATA MMOJA ANAESHIKA SIMU YAKE, USIJITIE KULU WAKATI KURA HUPIGI
ReplyDeletemmh jamani watanzania kwa lawama tu wako mbele yaani ss hapa hata huoni anaetoa sifa na si kweli kwamba huyo julio hamna ht moja zuri alilofanya hebu tupendaneni jmn hy ni game so ni lzm mtu atoke so wakibai wote game itaisha? nyie mnaolaumu km mlijiona mna hz sifa si mngeenda? besides ni mara ya kwanza kww julio ndio maana watanzania nchi nyingi hawafanikiwa coz hatupendani na hatuna ushirikiano, hongera julio kwa kdg ulichujaribu usikate tamaa na achana na hao wwnaojua kulaumu tu while wamejikalisha bila maendelea, u tried man.
ReplyDeleteTo be honest, wanastahili kutolewa maana hawakushirikisha watanzania kuhusu kwenda kwao BBA. umeshtukia tu tayari wameshachaguliwa. Wangetuomba watanzania tuwakumbuke huko. Wakome kiherehere
ReplyDelete