Karibuni sana ndugu zangu kwenye blog yangu( mapishinacecy.blogspot.com) 
tujifunze mapishi mbalimbali. BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2012

    Asante mdada kwa mapishi ila duuu hiyo sukari na mafuta! sijui siagi baada ya miaka kadhaa vitajibu!
    Sasa sijajua unatumia lugha gani hasa, najaribu kufuata lakini unaniacha mwenzio. Hicho n Kiswahili? Aaaaa haya weee! Unayaweza mama wa jikoni! Ya rabi salama ndizi hizo yaani uaweka mafuta kikombe cha chai!!!!!!!!!!!!!!!. Basi basi basi, nimeshiba. Sasa mzee yupo au nitupe ndoano? Hayo ya mafuta na sukari ni madogo tu ilimradi unanipikia kila siku! unasemaje??

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2012

    tunashukuru kwa mapishi. ila ni vyema pia kanuni nyingine zikazingatiwa kama vile kufunika nywele zako vizuri.

    asante

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2012

    Naomba nimuelewesha huyu dada, hauwezi kabisa kutumia hand blender kwenye bakuri la bati, ni lazima utumie bakuri la plastic au glass. je hajafundishwa kwenye shule ya upishi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...