Spika wa Bunge Mhe. Anne Mkainda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Canada hapa nchini Mhe. Robert Orr alipomtembelea ofisini kwake leo. Balozi huyo alifika Ofisini kwa Mhe. Spika kwa lengo la Kumuaga.
Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe Mohamed Seif Khatibu akifafanua jambo mbele ya Mhe. Spika wakati kamati hiyo ilipokutana na Mhe Spika kujadili maswala mbalimbali yanayohusu kamati hiyo. kulia kwa Mhe. Spika ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Edward Lowasa na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.Picha na Owen Mwandumbya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...