Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2012

    Mama kachambua kiprofessor. Hajakariri bali anaelewa anachokizungumzia. Madoctor na ma-professor wengi wenu hampendi fani zenu, mpo mpo tu, that's why mnaamua kukumbilia siasa na hatimaye kuwa wezi na mafisadi.

    Dr Mr President, baraza lako limejaa madoctors na maprofessors lakini ufanisi wake bado ni mdogo sana. Umewahi kujiuliza sababu ni nini ? Yaani kwenye baraza zima kuna madoctors wawili tu ndio active, the rest haieleweki coz wako kimaslahi zaidi.Mr president fatilia kwa umakini mawaziri wako kwani ndio wanaokuangusha, hatimaye wewe ndio unaonekana umeshindwa.Usingoje wananchi walamike, ukijua ni fisadi timua moja kwa moja na sio kumhamishia sehemu nyingine, hii nayo inazidi kuwafanya waharibu coz wanajua watapewa kazi nyingine.Vua sura ya utu wa watu na uvae sura ikiwezekana ya shetani ndio nchi itasonga mbele.Mwambie waziri fulani akuazime sura yake ili ufanyie kazi ili umalizie muda wako kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi unaonekana kwa watu na sio vitabuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...