Sports & Lounge ni kiota kipya cha maraha na michezo kilichopo ndani ya jengo ambalo zamani ilikuwa ubalozi wa Uingereza pembeni ya mzunguko wa Askari Monument a.k.a Picha ya Bismini mtaa wa Samora na Azikiwe jijini Dar es salaam. Humo pamoja na vilaji na vitafunwa na misosi ya kila aina ya kisasa na kiasili pia unapata fursa kuangalia chaneli mbalimbali za michezo duniani. Na siku ya BIG MATCH ndio mnakuwa mwake. Bei karibu na bure ukilinganisha na location ya mahali penyewe. Buku mbili hukosi chai na chapati...
 Mandali kwa ndani

 Viti na meza vya kileo
Kwa nje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...