Aliekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL),Paul Chizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2012

    Hili ndio linaitwa Paranja.. Hongera Mheshimiwa Waziri.. Tuige mfano wa Ethiopia.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2012

    Mh.Mwakyembe sina tatizo na kuwasimamisha hao uliowasimamisha lakini wasiwasi wangu ni kwamba huoni kwamba kitendo cha kumteua Captain Lusajo M.Lazaro kuwa kaimu MD ambaye ni wazi ni wa nyumbani kunaweza kuleta sintofahamu kwasasa hasa ukizingatia kwamba mtu huyu ni kabila lako na kwamba anaweza kuonekana ametumika kuwamaliza wengine na hatimaye kukalia kiti hicho.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2012

    Sasa Chizi vipi tena?
    Huyu si ndiye aliyeagiza ndege mpya na mbwebwe nyingi za kuipokea?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2012

    Mwakyembe anamteua Lusajo, natumaini uteuzi huu umefuata uchapakazi na siyo ukabila.
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2012

    Ng'ata Baba. Umepewa meno, sasa kazi tu babaake.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2012

    Kwa hakika hizi ni habari njema kwa maana ya kwamba huenda kukawana ungozi bora sasa ATCL utakaozingatia ufanisi bora wa kitaalamu kuendesha hiki chombo chetu muhimu cha taifa, nina amini huyu ndugu Capt. Lazaro anao uwezo, uzoefu na uzalendo wa utumishi.
    Inasikitisha kuona kuwa huyu bwana kwanza aliwekwa kinyume na sheria, pili aliachiwa kwa muda mrefu kulivuruga shirika anavyotaka pamoja na malalamiko yaliokuwepo.Hili liwefundisho kwetu sote kuwa viongozi kama hawa wasiwe wanabebwa tu kufurahisha nafsi.
    Asante ankal.

    ReplyDelete
  7. Mikausho MikaliJune 05, 2012

    Duh..nini sasa hii ? majungu au ? watu wanaanza kwenda Vizuri mnaanza kutimua kisa taratibu.Mbona mnataka kuvuruga mazuri yanayofanyika?.mngeanza kufukuza watu wa TRC na TAZARA wanakoshindwa kuperform

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2012

    Nilitaka kubwatuka,lakini nilipoona ni uamuzi wa Dr.Mwakyembe,nakaa Kimya.Mwakyembe ni mtu makini na anafahamu anachokifanya.Eng.Chambo alizuia ndege mliyokodi kuruka kwenda Mwz siku ya Kwanza hadi taratibu zikamilike nyie mkairusha kwenda kwa sherehe kubwa,mmeona sasa kutokusikiliza maelekezo ya wakubwa wenu.

    David V

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2012

    Inasikitisha sana. Hivi tangu mwanzo hawakujua hayo? Sasa baada ya kampuni kuanza kuonyesha mwanga na ndege kujaza abiria ndio imekuwa nongwa kwa sababu wale wengine hawapati abiria? Hii ni hujuma ili kuzorotesha utendaji wa kampuni. Kama hao hawafai, basi wateue wengine haraka na spidi ya kukua kwa kampuni ionekane. Wakileta 10 percent waje PCCB wako macho.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2012

    Inasikitisha sana. Hivi tangu mwanzo hawakujua hayo? Sasa baada ya kampuni kuanza kuonyesha mwanga na ndege kujaza abiria ndio imekuwa nongwa kwa sababu wale wengine hawapati abiria? Hii ni hujuma ili kuzorotesha utendaji wa kampuni. Kama hao hawafai, basi wateue wengine haraka na spidi ya kukua kwa kampuni ionekane. Wakileta 10 percent waje PCCB wako macho.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 05, 2012

    hii ni mistake kubwa sana. Paul alikuwa anaendesha lile shirika vizuro sana na alikuwa na plans amabzo zilikuwa zin make sense. hata kama sheria haikufwata, kwanini mnatoa leo. It sound like is more pesonal than proffesional decision hapa. manaiua ATC sasa.. nways kwa kweli mnatukatisha tamaaa kabisaaa.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 05, 2012

    Hakuna cha ukabila wala ubaadaye, Lusajo asipewe usimamizi eti kwa sababu itaonekana ukabila hakuna!! Lusajo ni mchapa kazi anafahamika. Nchi inayofuata utawala wa sheria ndio inavyofanya kazi. Imekuwa ni kasumba ya watanzania hata kama mtu anavurunda basi tunaoneana aibu. Wapi jamani mawaziri wa aina hii tutokomeze ufisadi tulete maendeleo???? . Hongera Mwakyembe.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 05, 2012

    ANAYEONGELEA UKABILA HANA AKILI, TUNAANGALIA UWEZO WA MTU KUFANYA KAZI...MIMI HAINISUMBUI KABISA KAMA KAPTENI NI KABILA MOJA NA WAZIRI TUNACHOTAKA NI UCHAPAJI KAZI SIO POROJO...HEKO WAZIRI TUPO NYUMA YAKO...TIMUA MAFISADI WOTE

    ReplyDelete
  14. Hotmail.comJune 05, 2012

    Dr Mwakyembe umefanya kitu cha maana sana kwa kuwafukuzilia mbali jamaa hao. Mimi mwenyewe nilijisikia vibaya sana niliposoma kwenye magazeti eti wakifanya sherehe baada ya kuipata hiyo ndege moja ambayo bado haijaleta faida ama kufanyakazi. Ni watu wasiokuwa na uchungu na maisha magumu ya Watanzania. Big up Dr Mwakyembe na Engineer wako.


    This Is Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 05, 2012

    oooops!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 05, 2012

    Mimi sioni suala la kuteuliwa kwa Capt Lazaro kuwa MD wa ATCL linahusiana na kabila, ni rubani wa shirika hilo tangu enzi za East African Airways na pia licha ya uzoefu ameshashikilia nyadhifa mbalimbali hapo ATCL as Director of Operations in the 90's na pia Chief Pilot,so sioni kwanini mtu ushangae uteuzi wake? ukizingatia ma-Pilot wote wa zamani waliondoka na kutafuta kazi nchi za nje,ni mmoja wa wachache ambao walibaki no matter what the company went through.Nakumbuka miaka ya 80's meneja mkuu wa Ethiopian Airlines alikuwa naye Rubani....Congratulations to him!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 05, 2012

    Mwakyembeeeeeeee! Ua baba hapa hakuna cha ukabila bali ni kazi tu. You appoint those you trust na kabila is not part of the solution bali uwezo wa uongozi na fikra. Unaanza wewe and I hope mawaziri wengine watafuatia mfano wako. Hii nchi ilizidi kuoza, tunakuwa kama Nigeria? Mwakyembeeeeeeeeeeee, ua baba, majeneza tunayo!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 05, 2012

    God Job Mwakyembe!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 06, 2012

    Narrow minded people siku zote hukimbilia ukabila na udini..watu kama wamesoma na uwezo wanao hata kama ni wamatumbi wapewe vitengo tu..Someni na nyinyi mtapewa vitengo sio kunen'geneka tu. All the best Mwakyembe.You deserve more than a minister you are freedom fighter. AlUTA CONTINUA.

    Ricardo.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 06, 2012

    This is why I hate Tanzanian Politics, hivi unamtoaje mtu ambae ni mchapa kazi just because ya majungu yasioleta Maendeleo. Wote mliokua against Chizi tunawajua maana mlikaa sana madarakani na mkaiba hela wala hamjafanya chochote la maana kwa shirika. But penye ukweli uongo hujitenga, time will tell

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 06, 2012

    Jamani mnaosema Lazaro kachagaliwa kwa ajili ya ukabila, mnatilisha aibu na mnaongelea habari msizozijua. Huyo baba Chizi angepaswa kuondolea siku nyingi toka aundiwe tume ya kumtaka ajibu tuhumu za matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa fedha za kampuni, inashangaza kuona kuwa kavumilwa kufanya madudu yake. Chukulia mfano tu wa sherehe kubwa aliofanya ya kuleta ndege tena ya kukodisha tu, na kaikodi bila ya idhini ya serikali, mnavyoona nyie huyu mtu mzima huyu? Tuhumu ni nyingi someni magazeti yasiku zilizopita, tuhuma hizi ni za toka mwaka jana kwa hiyo hatua hii haikuwa ya ghafla wala ya upendeleo. Kisha ukumbuke duniani kote makampuni mengi yaliofanikiwa yameendeshwa au yanaendeshwa na marubani. Isitoshe huyu bwana alishindwa kuendesha shirika la ndege la community na kusababisha hasara kubwa.............aulizwe Mh. Diallo.
    Tunakutakiwa kila la kheri Capt Lazaro Mungu akutangulie, na Mh. Mwakyembe hongera nawe pia Mungu akupe afya njema na wepesi katika kazi zako.

    Mdau Fiwi

    ReplyDelete
  22. Mikausho MikaliJune 06, 2012

    Mi napinga issue ya ukabila hapa labda ni coincedence tu.Mnaosema hivyo labda mtuambia ni nai alistahili kuachiwa madaraka ? Lakini msisahau kwamba Chizi ni Engineer wa ndege wa siku nyingi sana toka hiyo hiyo enzi ya East Africa Airways mpaka ATC lakini hapa kuna majungu.Kwani wengi hawakupenda hiyo ndege iruke kwa sababu zao binafsi na za mapatner wao wenye airline nyingine hapa TZ.

    Lkn kwenye suala la kuleta hii ndege na waziri hebu tugonge hapa chini ktk link hii

    http://www.aerovista.aero/Files/F_News.php

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 06, 2012

    TIME WILL TELL

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 06, 2012

    Hongera Mhe. Dr.Harrison Mwakyembe!

    Ilikuwa ni aibu sana niliposoma gazeti la The East African linalochapishwa Kenya lilipoandika mwezi uliopita ya kuwa Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Serikali Ludovick Utouh ametoa Ripoti ya Shirika hilo ATCL na kubaini uozo mkubwa kama:

    1.Shirika kutokueleweka kama ni la Serikali ama Binafsi (ubabaishaji).

    2.Shirika halikuwa na Bodi kwa zaidi ya mwaka tokea March-2011.

    3.Shirika limekodi ndege mbovu iliyoanguka Kigoma mwezi wa April.

    4.Mahesabu ya Ki fedha yasiyoeleweka (dalili ya wizi).

    HIZO NI DALILI TOSHA ZA UOZO NA UENDESHAJI WA UBABAISHAJI NA KIFISADI NDANI YA ATCL !!!

    INAONEKANA PAMEKUWA NA GENGE LA WATU KWA MUDA MREFU NYUMA YA ATCL.

    PANA NCHI ZINAZOTUZUNGUKA JIRANI MFANO
    1.MALAWI: MASIKINI WANATEGEMA UVUVI WA SAMAKI ZIWA NYASA LAKINI WANA NDEGE ZA KUNUNUA SIO NDEGE MBOVU ZA KUKODI KAMA SISI WENYE MILIMA NA MAJABALI YA MADINI NCHINI NA UTAJIRI KIBAO!!!

    2.RWANDA: WANATEGEMEA UKULIMA WA MAJANI YA CHAI, MAUWA,MBOGA NA UTALII WA MANYANI MILIMANI LAKINI WANA NDEGE MPYA BOEING 747 ZA KUNUNUA!!!

    Imekuwa ni fedheha kubwa kabisa Nembo yetu ya Taifa ya Twiga kupakwa rangi ktk ndege mbovu tena za kukodi, kweli Watanzania Mwenyezi Mungu tumemkosea nini?

    HIVYO MAAMUZI YA Mhe.MWAKYEMBE YAMEZINGATIA UKWELI HUO HAPO JUU:

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 06, 2012

    Tatizo letu kubwa ktk masuala yetu ni

    1.Mambo yanaamuliwa na kutekelezwa kwa siri (bila uwazi, kufuata utaratibu wala vigezo)tena na watu wachache miongoni mwetu.

    2.Kuwashirikisha Wanasiasa na Maafisa Wastaafu kuliko wana Taaluma hasa ktk masuala nyeti.

    Mfano hapo ATCL uteuzi wa jamaa aliyesimamishwa Mr.Chizzi unaakisiwa na mazingira mawili No.1 na No.2 hapo juu

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 06, 2012

    Kiama chetu Tanzania ktk Uendeshaji,

    Mambo mengi kama tunavyoona hii ATCL yanachukuliwa na kuendeshwa kwa mazoea bila kufuata kanuni,vigezo,taratibu na uwazi kama vile wadau wana vyoendesha kampuni zao za Mikobani!

    1.Unakuta kampuni ya Mbongo haina Physical office.

    2.Kampuni haiendeshwi Kiofisi inaendeshwa kwa stayle ya Kiganjani, Kampuni ipo mkobani Boss wake anashinda nayo Ofisi Mkononi ndani ya Mgahawa kutwa akinywa Juisi cha chai!

    3.Kampuni haina Akaunti na kama ipo ni Savings(ni ya akiba) sio Current (ya Hundi za kibiashara) na zaidi unakuta Akaunti haina pesa kabisa(zero balance)!!!, cha ajabu mmiliki na Kampuni ya namna hii inapata Tender tena kubwa kabisa!!!

    4.Kampuni haifanyi Auditing ukikuta iliyojitahidi unapata Financial report ya mwaka juzi!!!

    5.Utashangaa kuona Kampuni ya namna hii inapata Empowerment za aina mbali mbali hadi Bank Loans kutoka Mabenki na Grants kutoka Taasisi mbali mbali wakati kwa msingi wa No.1 hadi No.4 hapo juu Kampuni haistahili kabisa kupata No.5(Empowerment Opportunity)

    Matokeo yake Empowerment hiyo inamwezesha Mmiliki kujengea Fedha hizo Bar au Pub badala ya kuendeleza Sekta husika kulingana na Dira, Makusudio na Malengo yaliyopelekea upataji wa hizo fedha!!!

    Hakuna Corporate Governence ethics hata kidogo ktk Tanzania,

    Tanzania ni kama tuijuavyo!!!

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 06, 2012

    ''hii ni mistake kubwa sana. Paul alikuwa anaendesha lile shirika vizuro sana na alikuwa na plans amabzo zilikuwa zin make sense. hata kama sheria haikufwata, kwanini mnatoa leo. It sound like is more pesonal than proffesional decision hapa. manaiua ATC sasa.. nways kwa kweli mnatukatisha tamaaa kabisaaa.''
    HUYU JAMAA KASEMA KWELI.
    CHIZI ALIINGIA NA NUNDU, VISION WAS WAY FORWARD!!!!
    WIMBO WA SERIKALI SIKU ZOTE NI 'HAKUNA HELA'...KAMA SIO UZOEFU WA CHIZI NA WENZAKE HIYO NDEGE ISINGEKUJA, WAMETUMIA MBINU BILA MSAADA WA SERIKALI NDEGE IMEKUJA, HUYO ALIYE SIGN HIYO BARUA NDIYO MUUAJI WA ATCL, HALITAKI SHIRIKA, KOSA LA CHIZI NI KULETA NDEGE!!!
    MUULIZENI HATA LAZARO ATAJIBU WOTE HAO PAMOJA NA YEYE WANAPIGWA VITA, LENGO NI KUUA SHIRIKA!!!!!
    LET US WAKE UP!!!

    NAMNUKUU MSEMAJI MWINGINE, WOTE HAWA WANAJUA KINACHOENDELEA ATCL

    ''hii ni mistake kubwa sana. Paul alikuwa anaendesha lile shirika vizuro sana na alikuwa na plans amabzo zilikuwa zin make sense. hata kama sheria haikufwata, kwanini mnatoa leo. It sound like is more pesonal than proffesional decision hapa. manaiua ATC sasa.. nways kwa kweli mnatukatisha tamaaa kabisaaa.''

    NARUDIA TENA, MUUAJI WA ATCL NI HUYO ALIE SIGN HIYO BARUA!!!!!!
    KAISHAWAHI KUTAMKA HIVYO, CHIZI HANA KOSA WALA NUNDU KWENYE ATCL HAKUWAHI KUWA FISI...

    THEIR VISION WAS/IS;

    W A Y F O R W A R D !!!

    TUAMKE JAMANI!!!!!

    ReplyDelete
  28. Mikausho MikaliJune 06, 2012

    Kuna mtu hapo amequote gazeti la East African (Sidhani kama ni kweli) na tuhuma zote alizotaja si za kweli:
    1.Chizi kaanza kazi Agosti last year na ripoti ya CAG ni ya 2010/2011.Mahesabu ya 2011/2012 serikalini na mashirika yake yanakaguliwa kuanzia August mwaka huu mpaka Disemba ndo mwisho.Hiyo ripoti aliyequote anon wa Wed Jun 06, 10:26:00 AM 2012 ittakuwa inamhusu Mh avid Mattaka na management yake waliyosimamishwa.Tungojee ripoti ya ukaguzi wa mwaka huu ndo tumtuhumu huyo Nundu.Mliosoma Accounts na mlioserikalini tumeelewana hapa
    2.Ndege iliyoanguka Kigoma ni mali halali ya ATCL na ilinunuliwa na kampuni iliyotaka kuwekeza hapa Tanzania hapo zamani.Tungoje uchunguzi utakapomalizika tutajua lkn ndege haikuwa mbovu
    3.Kuna sabau nyingi sana zilizopelekea shirika kufikia hapo lilipo na sehemu kubwa ni maamuzi mabovu ya serikali toka miaka hiyo ya zamani mpaka leo hii.Hapakuwa na haja ya kujiunga na SAA wala wanasiasa kujiingiza kwenye internal affairs za makampuni na ndiyo makosa makubwa yanayorudiwa kila leo
    4.Generaly Serikali imeshindwa kuanzia kurun yenyewe na taasis zake nyingi tu.tupeane mfano wa shirika la umma linalo perform kuliko maelezo

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 06, 2012

    Dear Fellow Tanzania

    Tuamke jamani ! Tuamke jamani

    Ukweli na Uongo siku zote hujitenga na ni swala la muda tu

    The Truth and nothing but truth utajionyesha wenyewe

    1.Wanasiasa ukweli wanauwa nchi yetu na mashirika yetu na muuwaji mkubwa ni aliyesaini waraka huu na Mh. Mwakyembe kichwa kichwa kaingia
    2.Nothing personal hivi tujiulize ni sherehehe ipi kubwa iliyofanyika wakati wa kupokea ndege ya kukodi , sikuwepo pale lkn through media was sherehe was simple and straight forward and people were happy at least life was comming back to ATCL

    3.Hivi tatizo ni ndege ya kukodi au ni Joint Venture
    For the time being that was the only solution (Short Term)
    Je serikali imeweka shillingi ngapi kwa ajili ya ununuzi wa ndege ATCL
    Mwakyembe kuwa muwazi km ulivyofanya kwa kamati ya Lowassa au ndio huu ugonjwa na kushidhwa kufanya maamuzi magumu

    TRL ipo hoi ( Nothing Happen) , Tazara ipo hoi ( Nothing Happen)

    Nasikitika kwa hili Makyembe umelikanyaga na mafisadi sasa hivi wanakushungulkia

    3.Watanzania ambao tuko macho tunaelewa huu ni upinzani kutoka kwa kampuni jirani PW ili awe peke yake kwenye industry , hii siyo sawa ,sasa napata picha kwa upana zaidi , siku zote mwekezaji / uwekezaji wa watanzania unapigwa vita ila wa njee ndio wanaonekana bora rejea mwekezaji wa kitanzania Simon Group na UDA , ukweli ni kwamba usipige hatua da jaama hawalali wanakumaliza , chondechonde tunapokwenda pabaya

    4. Ati taratibu za kumweka Paul Chizi hazikufuatwa , sasa kwanini now zisifuatwe na mambo yakawekwa sawa kwa maslahi ya ATCL na watanzania , Mwakymbe hufikiri sasa wewe ATCL inakufia , What plan you have ahead

    5.ATCL Staff na wadau wote poleni sana kwa yaliyowakuta rejea ZAB 23


    6.Tukubaliane yote haya yanafanyika kwa njama ili tu shirika la ATCL lisiruke na at end of the day liuzwe at Cheap Price

    Tunajua ATCL brand inauza mbaya na hasa Twiga

    Mwakymbe chonde chonde baba kwa hili limekaa vibaya kama waziri mwenye dhamana watch out

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...