Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo kwenye eneo la Soko Kuu mjini Iringa. (Picha na Bashir Nkoromno)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Che GuevaraJune 18, 2012

    Watakuwa wamepewa 'mshiko' ili wahudgurie kwani kwab hali ya sasa CCM bila kuwasafirisha watu wao na posho juu hakuna mahudhurio kabisa!

    CCM TULIKUPENDA SANA LAKINI KUZIMU KUMEKUPENDA ZAIDI, KAPUMZIKE KWA TABU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...