Taswira za kiota kipya cha maraha cha Emirates Hall kilichopo mjini Masasi, Mtwara, na tayari Msondo Ngoma wameshakifungua rasmi hivi karibuni na kukisifia kuwa ni moja ya viota bora nchini

 Kwa ndani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2012

    Kimetulia, kiko simple n' very nice. Basi tena wahusika wake mkitunze vizuri, sio tena muanze kukifuja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...