Msanii wa Muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone (pichani juu) alikamirisha taratibu zote za kusaini mkataba wa kufanya shoo kali Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam, siku ya sabasaba baada ya Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, kutia timu Entebe. 
Chameleone akijigamba kufanya shoo kali baada ya kusaini mkataba wa mwisho.Chameleone ametoa onyo kwa Diamond kuwa atamchakaza na Valuvalu!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...