Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, muda mfupi kabla ya wajumbe wa kamati hiyo kuelekea nchini Canada, Marekani na Uingereza kwa ziara ya kujifunza.
 Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2012

    Kwa kweli huh ni ufisadi tupu? At a time when the main Parliament session is seating one would have thought these members could figure out a better time for their junket! It is sad that when our Embassies are not adequately resourced and not funded in time as disclosed by the CAG report we would have so called leaders running around for the purpose of spending the balance of their 2011/2012 budget allocations before the budgetary year ends! The fate of out country with such leadership is indeed deem and without promise! God bless Tanzania!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2012

    Balozi zetu bado ndogo. Tunaomba tufahamishwe tija ya ziara hizi? Kwani wizara ya mambo ya nje kazi yake ni nini?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2012

    Kujifunza nini? ufisadi wa kodi za wananchi....inauma sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2012

    Ila Kamati Hii ya Bunge imefanya vizuri kutuaga sisi walipa kodi kwa serikali.

    Tuanaomba mtaporudi pia mtupatie maelezo jinsi Kamati ya bunge ilivyofaidika na ziara hii ya mafunzo.

    Pia tunaomba ziara zote za wakuu wetu watoe maelezo ya kutosha kwa umma kabla ya kuapa na mara wanaporejea nchini.

    Mdau
    MwenyeNchi Mlipa Kodi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2012

    Hakika hii Ni aibu. Tumeshuhudia ziara nyingi zilizoitwa za Kujifunza! Ifike mahali zirejewe na kutathmini Nini Tulijifunza!? Tulielewa somo? Kama ndivyo OK na Kama SIVYO Ambapo Hali ya SIVYO ndiyo kubwa zaidi!! Tujipime tunatokaje hapo!!?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...