Globu ya Jamii jana ililetewa taarifa na Mdau kuwa Libeneke la Shirika la Ndege Tanzania kuwa limepata kwikwi,hivyo Globu ya Jamii ikaamua kufanya utafiti wake na kubaini kuwa Libeneke hilo la Air Tanzania liko hewani na linakula mzigo kama kawa.

Tembelea libeneke lao hilo kwa kubofya link hiyo http://airtanzania.co.tz/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2012

    Afadhali uwanja wa ndege wetu uko mbali na vituo vya mabasi. Nimeangalia leo taarifa ya habari, Ghana ndege itokayo Lagos imegonga basi na kuua watu 10. Haya sasa na wapopo wenyewe ndege yao imeanguka na kuua wote. Hizi ajali si mchezo.

    Kwa taarifa zaidi bofya hapa:http://edition.cnn.com/2012/06/04/world/africa/nigeria-plane-crash/index.html



    Ni hayo tu.

    Ni mimi

    Mr Nyamaimewahi Kunikabashingoni

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2012

    Hizo ndege zingine wanazozitegemea zije haraka basi.Biashara asubuhi Mr.Chizi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...