Brother Michuzi...Salam,

Naomba tusaidiane kumtafuta Dada mmoja anaitwa Brenda Nkya Massawe,maana ninayo pochi yake aliyopoteza

Naomba anitafute kupitia namba ya Simu hii 0783 940 288..

Note: Ingawa ndani ya pochi kuna picha yake.lakini ni vizuri aje na utambulisho mwingine utakaoniwezesha niamini kuwa ni yeye.

Ahsante.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2012

    KAJAMAA HAKA NAKAPENDA SANA SAUTI SAFI KABISA ,,,, NAMTAKIA KILA LA KHERI UENDELEE KUWA MTOTO MZURI.MUNGU ATAKUONGEZEA..AMEEN

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2012

    Ni mfano wa kuigwa ewe Muungwana, Mola akuzidishie kwa uaminifu wako!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2012

    Mmmh mwanangu hiyo inaitwa "kuokota embe chini ya muarobaini!"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...