Mbunge wa Ubungo(CHADEMA)John Mnyika Akihutubia na akisikiliza maswali na kutoa somo la kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi, elimu ya katiba mpya na M4C, kwa wanakijiji katika maeneo ya wilaya tofauti za Newala na Nanyumbu
Mbunge wa Ubungo(CHADEMA)John Mnyika Akimsikilzia Katibu wa Tawi wa CUF, Bi. Zaituni baada ya kutoa somo la kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi, elimu ya katiba mpya na M4C, kwa wanakijiji katika maeneo ya wilaya tofauti za Newala na Nanyumbu.
Picha na Habari na Kurugenzi Ya Habari-CHADEMA
pigeni msasa vijana wachapakazi wa chadema sisi wa huku ughaibuni tunawaunga mkono moja kwa moja na tutahakikisha mchango wetu tutachangia ili 2015 tuchukue nchi ili tujaribu kufanya mabadiliko.
ReplyDeleteNaona huyu posho aliyopata haitoshi, mbona katoa macho. Pesa ikiisha semeni tutawapa CHADEMA. Huko kwetu tutakuchukulia likizo wakati wa uchaguzi, hao shiba tu ndio wanayotaka na nyinyi ndio wakati wenu wa kuwashibisha, nyie chezeeni nyoka, bila ya shiba hamwoni ndani huko.
ReplyDeleteCHADEMA,kazi yenu ni njema na MUNGU ATAWATANGULIA KWANI MMEAMUA KUWAOKOA WATANZANIA.
ReplyDeleteSisi ambao hatupo kwenye ziara ya operation hizo tutajitahidi kusomesha watu kwa up[ole na wanatuelewa tu.
MUNGU IBARKI TANZANIA
Ndugu zangu wa Newala, Nantumbu msikubali kurubiniwa, malaghai hao hawana nia njema. Kitakachotokea hapo mtakuja kujuta maisha yenu yote waogopeni kama upupu.
ReplyDelete