Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo(picha na freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Che guevaraJune 28, 2012

    AGENDA KUU YA KIKAO:
    1.Kuchunguza kiasi cha fedha kilichoibwa na mafisadi na kuwataja kwa majina.
    2.Kuhakikisha fedha zote zinarudi Tz bila masharti yoyote.
    3.Kuwapeleka mahakamani wale wote walioiba fedha.

    Nawasilisha,

    Che Guevara

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...