Waafrica waishio nchini Papua New Guinea wakisherehekea African Union day siku ya tarehe 2/6/2012. Mtanzania Doreen Mosha Kahwa ambaye alikuwa mwenyekiti wa maadalizi ya siku hiyo (aliyesimama mbele) akitoa neno la shukurani kwa waheshimiwa mabalozi na wageni waalikwa. Doreen Mosha Kahwa ni mke wa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa anayefanya kazi nchini Papua New Guinea.
Wakimama wa kitanzania wakicheza muziki wa kiaafrika wakati wa sherehe hiyo.
Hongera Mama Kahwa kwa kurusha jina la nchi yetu.
ReplyDeleteDuh! ... Papua New Guinea?! .. mbali kote huko WaTz wapo! - Duh!
ReplyDelete