KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Rukwa , Idd Kimanta ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi akisalimiana na Mzee Luis Chienvia, (80) akiwa ni mmoja wa wakazi 32 wa kijiji cha Matai wilayani Kalambo ambao walilipwa fidia zao zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 24 ili kupisha ujenzi wa barabara ya Sumbawanga - Matai hadi Bandari ya Kasanga mwambao mwa Ziwa Tanganyika kwa kiwango cha lami.
WAKANADARA wa China Railway kutoka nchi ya Watu wa China wakiwa katika kazi za ujezi wa barabara ya kutoka Sumbawanga hadi Bandari ya Kasanga mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo yenye urefu wa kilomita 112 barabara hiii ambayo kwa sasa inajengwa kwa kiwango cha lami ikikamilika itaunganisha mkoa wa Rukwa na nchi jirani za Zambia , Kongo DRC na Burundi kupitia Bandari ya Kasanga (Picna na Peti Siyame).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...