Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiuhutubia Umati mkubwa wa Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka Mikoa mbali mbali Nchini waliohudhuria Maadhimisho ya Kutimia Miaka 50 tangu kuasisiwa kwa Al Madrasat Shamsiyah ya Mkoani Tanga Mwaka 1962.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Ziffa { Maandamano} ya Amani ya kusherehekea miaka 50 tokea kuanzishwa kwa Al Madrasat Shamsiyah Mkoani Tanga ambapo mGeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2012

    Tafadhali nifahamishe kiswahili safi ni kuhudhulia au kuhudhuria???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...