Tour visual promotion chini ya Upendo Simwita na Angel Justace wameandaa Car Wash Charity kwa ajili ya kuchangia kituo cha Watoto wa Yatima cha Good Hope kilichopo Usa River,Jijini Arusha.

Shughuli hiyo itafanyika tarehe 14 julai ndani ya Matongee Canivarl kuanzia saa 4 asubuhi mpaka majogoo,Muigizaji Maarufu wa Bongo Movie,Wema Sepetu ndie anaetarajiwa kuwa mgeni rasmi chini ya Meneja wake Martin Kadinda.Wengine waliokubali kushiriki tendo hilo ni pamoja na baadhi ya Warembo waliowahi kutikisa katika Shindano la Miss Tanzania miaka ya nyuma.

Ambapo wote kwa pamoja watashiriki kuosha magari ya watu mbali mbali watakaohudhulia hafla hiyo.

kwa taatifa zaidi wasiliana na Waratibu wa Hafla hiyo
Angel Justice 0753 195 830
Upendo Simwita 0755 975 454

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...