Mdau, Joyce Manyerere akiwa ni mwenye furaha baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa UWT Kata ya Kwembe, Dar es Salaam katika uchaguzi mdogo uliofanyika juzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2012

    Hongera Da Joyce. Tuko pamoja na tutaendelea katika harakati za kuimarisha UWT. Kila la heri. Magdalena.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...