Redd's Miss Tanga 2012,Theresia Kimaro (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na mshindi wa pili,Beatroce Joseph na wa tatu Johari Harom muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao liliilofanyika usiku huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani,Jijini Tanga leo.
Washiriki walioingia tano Bora.
Washiriki wote stejini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Che GuevaraJuly 07, 2012

    Wachaga urembo ndio asili yao yenu na kumbukeni miss tz. wa kwanza kabisa alikuwa mchaga, kumbukeni akina hoyce Temu na mafanikio yao hawana kashfa za kishenzi kama makabila mengine ie Wema!
    Hongereni sana wachaga kwa kulelewa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2012

    www.misstanzania.net

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2012

    Mtoa mada hapo juu jipe moyo. Kumbuka kuna wazuri wenye class ambao hawawezi kamwe kushiriki mashindano kama hayo. Hatuna haja ya kusema sana wazuri tunajua wanatoka wapi!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2012

    warembo sio wachaga tu, kila mwanamke ni mrembo ila urembo wake unadhihirika pale tu anapokidhi viwango vinavyohitajika kwa sekta fulani

    ReplyDelete
  5. CHALALE, GODFREYJuly 08, 2012

    Hongera sana Miss Redd's Tanga 2012 Theresia Kimaro. of course you deserve to have that crown but I advice you to be kind,honourable and confident. In those pillers you will be more accepted and you will get more chance to win Miss Tanzania. ok enjoy your victory

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...