Meneja masoko wa Grandmalt,Fimbo Butallah (katikati) akiwa na Naibu katibu mkuu wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFA), Masud Attai Masud na Mwanaseria wa ZFA wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Zanzibar mara baada ya kukamilika kwa sermina ya wanahabari kuhusu ligi kuu ya soka ya Grandmalt kwenye hotel ya Zanzibar Ocean View Leo














































Post a Comment