Mshambuliaji Amour Omar wa Bandari (kushoto) akijaribu kumpita Makame Haji wa KMKM katika pambano lao la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar. Bandari ilishinda mabao 2 - 1.
Mshambuliaji wa KMKM, Kasim Nemshi (kushoto) akiwatoka walinzi wa Bandari.
Mshambuliaji wa KMKM (kushoto) akipiga mkwaju kuelekea lango la Bandari
Picha zote na Martin Kabemba wa Globu ya Jamii, Zenji.













































Post a Comment