Redds Miss Ilala 2012, Noela Michael akiwa na mshindi wa pili Magdalena Munisi (kulia) na mshindi wa tatu Mary Chizi (kushoto) mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano la Redds Miss Ilala 2012.
Ningekuwa judge mimi ningempa 2nd run up ushindi. Kwa sifa ya uzuri. Labda inawezekana ni BUTU kichwani. Hivyo, huyo aliyeshinda atakuwa kampiku kwa hilo
Miss Ilala maji yamemkaa halafu lipstick imeingia kwenye meno jamani.
Ningekuwa judge mimi ningempa 2nd run up ushindi. Kwa sifa ya uzuri. Labda inawezekana ni BUTU kichwani. Hivyo, huyo aliyeshinda atakuwa kampiku kwa hilo